Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah Yani nikamemory flan hivii kipindi unajitafita Yani Kuna muda mtu unakumbuka unaona daaah haya mambo hayaaPrince Baina Kamukulu.. Alikua anasimulia Movies za kihindi Kila Jumapii kuanzia saa nne kamili usiku.
Muda huo nanyoosha na kuandaa nguo na viatu vya shule kesho yake.
Kale ka feeling na hisia mpaka leo huwa nakumbuka na huwa na wakumbuka watu niliokua nao kipindi hicho.
Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana.
Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson mtoto wa mama sabuni, kulikuwa na sindano tatu za moto na Fredwaa.
Kipindi Cha search Line simkumbuki mtangazaji wake ila alikuwa dada mmoja hivi, jioni unakutana na kipindi Cha mambo mambo eee hatari Sana.
Sitasahau na Sky Woker, hakika tulipata burudani nzuri sana ya vipindi RFA hakika tutamiss sana Vibe la WATANGAZAJI wa RFA. Karibuni tuflashback wakuu.
Namkumbuka Lazaro Matarange huyu jamaa katika kila kipindi ilikuwa lazima apige wimbo wa Eminem "cleaning out My closet"Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana.
Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson mtoto wa mama sabuni, kulikuwa na sindano tatu za moto na Fredwaa.
Kipindi Cha search Line simkumbuki mtangazaji wake ila alikuwa dada mmoja hivi, jioni unakutana na kipindi Cha mambo mambo eee hatari Sana.
Sitasahau na Sky Woker, hakika tulipata burudani nzuri sana ya vipindi RFA hakika tutamiss sana Vibe la WATANGAZAJI wa RFA. Karibuni tuflashback wakuu.
YapYeah sure nimekumbuka mkuu na alikuwa anaupenda sana huu wimbo Matarange
Daaaaaah umenikumbusha Joan Itanisa alikuwa pisi Kali mnooo aiseee sijui yupo wapi huyu dadaHatari sana :-
Mambo Mabo ehee sasaaaa
Je huu ni Uungwana? Wambura Mtani rudi aisee kipindi kinaboa sasa.
Sintosahau - Magasha
Hakuna Kulala - Faustine Stephano
Magazeti -06:30 -07:00
Kuna Pisi moja sijui iko wapi siku hiz JOAN ITANISA.
Mkuu nadhani Joan Itanisa ni huyuHatari sana :-
Mambo Mambo ehee sasaaaa
Je huu ni Uungwana? Wambura Mtani rudi aisee kipindi kinaboa sasa.
Sintosahau - Magasha
Hakuna Kulala - Faustine Stephano
Magazeti -06:30 -07:00
Kuna Pisi moja sijui iko wapi siku hiz JOAN ITANISA.
Mkuu kwanza hongera sana unakumbuka mambo mengi sana kwenye VIPINDI VYA RFA kongole kwako aisee vipindi vilikuwa 🔥 🔥 sanaHapa umegusa roho yangu kabisa. Ni redio yangu pendwa hii tokea miaka mingi.
Vodacom burudani zaidi ndani kukiwa na section ya sindano kali za moto, alitangaza Fred Fidelis kila asubuhi ukitoa wikiend
Sintasahau hichi kilikuwa cha fredrick Bundala sky walker. Ni matukio ya kusisimua sana.
Maswali na majibu kila jumanne usiku sikumbuki mtangazaji.
Seachline kipindi cha kutafutana
Mind your language
Watoto bomba rfa bomba
Indo style, Prince Baina Kamukulu jumapili usiku.
Usiku wa mahaba na mtoto wa mama sabuni.
Je huu ni uungwana? La hasha huu sio uungwana.
Ukimwi na jamii
Tanzania stars jumamosi saa 4 asubuhi
Michezo
Kuna mchezo wa redio niliupenda sana ulikuwa ukirushwa saa 12 mmoja wa wahusika aliitwa mainda nimeusahau jina.
Showtime
Mambo mambo
Boringo time ya Zuberi msabaha.
Kipindi cha mila na desturi za makabila kiliendeshwa na Wambura Mtani.
Kwangu RFA ilikuwa sehemu ya maisha, redio bila betri home hapakaliki kabisa