Leo tule catress na juice

Haaahaa in Pierre LIQUID 🥃 voice 😅 itabaki juu itabaki kileleni.. Heineken.

Kumbe unapenda ugali eeee....Mara moja moja kupika sio mbaya ila Mimi nina uwezo wa juu kwenye kupika mzee napika 😊☺️
 
🤣🤣🤣 Nakuelewa sana basi tu nimeamua kukuchokoza.
 
Tukiwa tunafuga ng'ombe wa maziwa siku moja nikiwa na njaa ningali primary school

Nimetoka shule na njaa hakukuwa na msosi nikachukua jagi la maziwa full nikamaliza lote kilicho fuatia ni kutapika Sanaa

Mpaka leo sijawai kunywa mtindi TENAA Nina allergies na maziwa mtindi..
 
🤣🤣🤣 Nakuelewa sana basi tu nimeamua kukuchokoza.
😄😄😄😄 Yaani mi nipo radhi nijiunge al shabab ila sio kunywa vile vitu.

Seriously hata nikioa yaani mtu akija niwekea hayo madude dadek naacha hapo hapo thalathat taraka
 
Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Swadakta, nyama Ama yai katikati inaitwa Egg/Meat chop na nyama ikichanganywa na viazi ndio Cutless
 
Mi nashangaa mtu anayekunywa mtindi aiseee
Sijui namuonaje..
An hawa watu wanakuaga wa ajabu ajabu sana.

Kuna jamaa atakuja hapa aisee an anapenda hvo vitu hatare
 
Haaahaa in Pierre LIQUID 🥃 voice 😅 itabaki juu itabaki kileleni.. Heineken.

Kumbe unapenda ugali eeee....Mara moja moja kupika sio mbaya ila Mimi nina uwezo wa juu kwenye kupika mzee napika 😊☺️
Napenda sana ugali, ndizi, pilau, chapati zote ziwe na nyama 😂.... Mtoto wa butcher man

Ila hizo mbanga za jamaa aseh siwezi maake vyote ni mboga tamu kabisa

Hongera kwa kujua kupika sotojo
 
Hata mchana nilipigq glass yangu ya mtindi bariiid sana baada ya kula ugali mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…