definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Endlea kukariri... first labda... last una danganya...Hii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .
Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland
I concurr.Zaiid na One incredible wanaweza, endapo media zikianza kusupport Hip Hop.
Acha mambo yako bwana sema mademu huwa hawamwelewi fid sababu ya ugumu wake lakin siyo kweli kwamba stamina anamfunika fidFid aliwahi kusema hakuna msanii wa bongo anaeweza kupanda na bit yake ajitokeza stamina akapanda na ile ya mwanza mwanza mbona fid alikubali, hiv haujawahi kuwaona wakipambanishwa jukwaani alafu anapandishwa mrembo wamchane vocal marakibao fid anachemka kwa yule dogo.
DuhHii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .
Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland
Fidmichano inayoingiza pesa ndiyo ya maana hapo.
nani kati yao hapo anaingiza pesa kwa michano yake?
ninao mkuuSamahan wakuu Natoka nje ya mada ila as long tunajadili rap na hip hop, mwenye wimbo ulioimbwa kwa ushirikiano wa songa, Nash mc, p the mc na zaiid uitwao Vina mpaka uchina anisaidie.
[emoji122] pliz nauomba mkuu, 0762526600ninao mkuu
mkuu hapo endelea kujadili mwenyewe tuu.... naona ushajichaguliahata nusu yake tu
unakuwa umeanzisha stori tuu kama vijiwe vingineKwahiyo hapa nitakuwa nimeanzisha ubishi?
mkuu usiweke no yako public ivo[emoji122] pliz nauomba mkuu, 0762526600
Si kweliMbona fid mchache sana kwa Stamina fid anakaa!!