definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Endlea kukariri... first labda... last una danganya...Hii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .
Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland