Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Hii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .

Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland
Endlea kukariri... first labda... last una danganya...
 
Anaanza fid q anafata one incredible uno, anamalizia bi boy stereo singasinga chundabad
 
Fid aliwahi kusema hakuna msanii wa bongo anaeweza kupanda na bit yake ajitokeza stamina akapanda na ile ya mwanza mwanza mbona fid alikubali, hiv haujawahi kuwaona wakipambanishwa jukwaani alafu anapandishwa mrembo wamchane vocal marakibao fid anachemka kwa yule dogo.
Acha mambo yako bwana sema mademu huwa hawamwelewi fid sababu ya ugumu wake lakin siyo kweli kwamba stamina anamfunika fid
 
Hii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .

Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland
Duh
 
Samahan wakuu Natoka nje ya mada ila as long tunajadili rap na hip hop, mwenye wimbo ulioimbwa kwa ushirikiano wa songa, Nash mc, p the mc na zaiid uitwao Vina mpaka uchina anisaidie.
 
VIVA ROMA VIVA...hakuna mc mkali East Africa.kama Roma..machunusi akatunge riwaya
 
Samahan wakuu Natoka nje ya mada ila as long tunajadili rap na hip hop, mwenye wimbo ulioimbwa kwa ushirikiano wa songa, Nash mc, p the mc na zaiid uitwao Vina mpaka uchina anisaidie.
ninao mkuu
 
Back
Top Bottom