Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

Mantis is so useful,
Alivyo ni mdudu imara,kichwa chake kinazunguka kwa nyuzi 360, ana uimara wa kumuona adui kwa HARAKA sana,na kukabiliana nae,wenzetu huko ngambo humuhusisha mdudu huyu na maombi Fulani siyaweki hapa,lakini baada ya kuko mbine,huwa na nguvu kubwa sana ya kushinda uadui wowote ule,maneno mabaya visasi,nguvu za kiza,pia hukupa ushindi kwa kila ukifanyacho,maombi hayo huambatana na imani za fikra zaidi.(yoga)+(meditation)
 
Kwani Hadi saa Tisa kasoro hii haujala tatizo ni Nini haswa?au unaleta Yale mambo yetu ya kula Kwa picha ya samaki?

Huu mji unaweza ukakufanya ukawa bize mpaka ukasahau Kula.
Huku JF Joannah ananipa Stress
Huku mtaani bills kama zote na siku zinakimbia kama upepo.
 
Huu mji unaweza ukakufanya ukawa bize mpaka ukasahau Kula.
Huku JF Joannah ananipa Stress
Huku mtaani bills kama zote na siku zinakimbia kama upepo.
🀣🀣🀣🀣🀣Naomba nikuache mtibeli wa watu usije pata vidonda vya tumbo ukanisingiza bure
 
Huyu Mdudu ni nouma nlishawahi kuona clip anamuua nyoka, nilishangaa sana

 
Mantis ni jamii ya Insect, ni Insect pekee mwenye kuweza kuzungusha kichwa pande zote ili kuona chochote hasa wadudu wadogo wadogo ambao yeye huwala..kwa style hiyo wazungu wanasema wanasali/swali

wazungu pia wanawafuga hawa kwenye Gardens zao kwaajili ya kupunguza au kuondoa Mbu, Inzi na wadudu wengine

Huyu hana tofauti sana na Owl...yaani Bundi...ambao nao huzungusha kichwa pande zote na hula panya na mijusi ni vile Bundi ni master wa usiku

Sidhani km kuna kingine
 
Kwa hiyo vunja jungu alimpiga roba nyoka?au kinyoka kilikuwa kidogo?Namuogopa sana huyo mdudu Mimi tangu utotoni mpaka leo
Nyoka mkubwa wa kummeza hata panyabuku.

Nyoka alikuwa anamnyatia vunja chungu ili amtafune. Vunja jungu akamuona na kumuwahi kwa roba iliyopelekea nyoka kuwa chakula cha mchana cha vunja jungu siku hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nimekutumia picha uone jinsi nyoka alivyokuwa anahanga kujinyonga nyonga ili kujitoa katika roba ya vunja jungu bila mafanikio.
 

Attachments

  • Screenshot_20230803-140813.png
    185.8 KB · Views: 9
Mirror effects, fungua hiyo code mwenyewe, au moon effects.
 
Mirror effects, fungua hiyo code mwenyewe, au moon effects.
Kwa Imani yetu ya kimila Sisi kwetu Vunjajungu siku zote analeta msg, na kwetu huwa tunapata faraja Sana tunapomkuta ndani, tulishawahi kupotea kaburi la Bibi yetu yaani tulishahangaika mpaka tukataka kukata tamaa from no where akaja yeye taratibu akaenda mpaka kwenye kaburi husika kisha akatulia. Tulilia kweli kweli. Tukaja kuambiwa ni kweli Hilo ndo kaburi sahihi la Bibi yetu. Hivyo kila mtu na anavyomchukulia huyu Vunja jungu.
 
Tangu siku niloona clip vunjajungu anaua nyoka nimezidi kumuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…