Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

duh kumbe huyu mdudu ana ubabe kiasi hiki
 
😂😂😂 Kwa wale walioishi Dar maeneo ya mburahati, kigogo, manzese, mw/nyamala, tandika nk miaka ile wanazijua vizuri roba hizi mkuu
Tena nasikia wengine walikuwa wanaongezea na misumari kwenye ubao wa roba😂😂😂😂😂😂
 
Tena nasikia wengine walikuwa wanaongezea na misumari kwenye ubao wa roba😂😂😂😂😂😂
Kweli mkuu kuna wengine walikuwa wanaweka misumari. Hapo lazima mkabwaji kinyesi kikutoke 😂😂😂 na ukitoka hapo unaelekea kanisani au msikitini kumshukuru Mungu kwamba wakabaji hawakuondoka na roho yako
 
Mkuu na je kama ukimuona tu around kwako let's say mara nyingi? Kunakuwa na ishara hiyohiyo? Maana recently amekua akionekana kwangu sana
 
Umetoa mfano mmoja tu tena kwa watoto,toa mfano wa watu wazima wanaofanya naamuzi makubwa ya Taifa na watunga sera,ndio utajua kuwa wenzetu wana akili nyingii sana
 
Basi mi nikimuona huwa nampiga na mfagio kumtoa nje,kumbe ni hazina
 
Umetoa mfano mmoja tu tena kwa watoto,toa mfano wa watu wazima wanaofanya naamuzi makubwa ya Taifa na watunga sera,ndio utajua kuwa wenzetu wana akili nyingii sana
Kuwa na akili nyingi na kuwa na commitment ni vitu viwili tofauti. Kwa sababu;
Mtunga sera ni mwingine na msimamizi na mtekelezaji wa sera ni mwingine.
Hata sera tulizoiga kwa wazungu na marekani zilizotungwa zomefeli kwetu.
Jambo kubwa ni utashi na uzalendo na maono.
Mfano bandari tunayo miaka yote tangu uhuru. Mfumo wa uendeshaji wa bandari haujabuniwa na waswahili bali wazungu. Vifaa vimebuniwa na wazungu sisi kazi yetu ni kuvinunua na kuvitumia ila havina tija. Je hapo sababu ni akili au commitment?
Ni akili gani inahitsjika hapo zaidi ya utekelezaji?
Nitakuelewa kama utasema ubinafsi, kutojali na kikosa uzalendo.
Mambo mengi yameishabuniwa kazi yetu ni kuyasimamia tu wala hayahitaji akili kubwa.
Wachina wanakauli yao inasema no "need to reinvent the wheel just copy it and modify it to suit your need".
Wapi sisi tunahitaji akili nyingi?
Mtandaoni kuna China plan 2020-2025 kujitosheleza kiteknolojia. Wameandika kila kitu mle. Je sisi tupange mpango kama huo wakati tayari mchina kauweka wazi kabisa.
Je unahitaji akili gani hapo wakati wenye wameisha kutafunia kila kitu.
Guy! sisi tunashindwa kwa kukosa commitment labda na pesa.
Kufanya monitoring ya mpango mkubwa gharama yake si ndogo bila kusahau majizi.
Unataka kuniambua majizi yanayotuibia hayana akili kubwa?
Je ni jeli watanzania milioni 60+ gskuna wenye akili kubwa?
 
shida kuna kizazi flan kikianza kuvuruga maarifa yatolewayo hapa hata aliyetaka kufunguka mengi zaidi anaacha wenzetu wanasikiliza sana na kuhoji/kudadisi sisi tunashindana na kubisha.
 
specifically called "praying mantis". I have seen it. The female eats her husband after mating.
 
Ndio maana Tanzania wakamwita vunja chungu.Chungu au jungu ni uchawi fulani utumikao kama kisasi.Humaliza wote waliokigusa kitu kilichoibwa au kilichotendewa ubaya.Sasa kuna namna akitumika huondoa laana ya uchawi ule kwa watu wasostahili kufikwa na nuizo la hicho chungu.
 
Tamaduni tunazojivunia zinatuziba masikio yetu na macho hata vilivyo vya kweli tunavipinga.Tibeli ni eneo huko kwenye novel ya kiyahudi iitwayo bibicry.
Kumbe Tibeli ni nchi ya kusadikika...thanks ngoja nianze hapa kutafuta kuijua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…