Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁
Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁
Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁
Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁
Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁
Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁
Ananivua shati, Sikusema kitu🙁
Alinibusu sana, Sikusema kitu🙁
Alinivua suruali na boxer, bado Sikusema kitu🙁
Alipanda juu yangu, bado nikabaki kimya🙁
Alianza shughuli yake pole pole tena kwa utaratibu,Sikusema kitu🙁🙁
Baada ya yote alivaa na kuondoka, bado Sikusema kitu🙁
Sasa yuko hapa ananiambia kuwa ako na mimba yangu🤧🤧🤧🤧
Nifanye nini???😭😭😭🚶🙁🙁🙈
 
Injili imekuwapo Afrika kabla ya ujio wa hizo ndege. Halafu ndege zimegunduliwa juzi juzi tu

ku
Injili ilikuja kama GIA ya kufanya biashara za utumwa mkuu,na nikisema ndege namanisha ni iyo injili iliyo letwa na watu weupe kutoka mbali
 
Injili ilikuja kama GIA ya kufanya biashara za utumwa mkuu,na nikisema ndege namanisha ni iyo injili iliyo letwa na watu weupe kutoka mbali
sema injili ilichewesha kufika kijijini kwenu ila maeneo mengine ilishakuwepo.
 
Hajui wazungu Africa walikuja na Galawa kupitia bahari..ndege zimeanza kuruka 1925 hivi
wengi hawajui njia ya maji ndio kongwe zaidi katika usafiri wa kimataifa.
 
Aiseee, vipi mkristo anaweza kufanya meditation?
Na afanyeje?
Yes.... kwa mtazamo wa kutuliza akili na kuongeza umakini... na sio kuweka imani kwamba nikifanya may be baada ya mda fulani nitapata kitu....

Mimi wakati mwingine kwenye kuweka concentration huwanasoma Psalm 103 na nimeikariri karibu yote.....
Mimi natumia mantra meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…