Yes.... kwa mtazamo wa kutuliza akili na kuongeza umakini... na sio kuweka imani kwamba nikifanya may be baada ya mda fulani nitapata kitu....
Mimi wakati mwingine kwenye kuweka concentration huwanasoma
Psalm 103 na nimeikariri karibu yote.....
Mimi natumia mantra meditation