Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga akitoa mfano irrelevantUjinga raha sana, na unaungwa mkono na wajinga wengi wenzio….. mbona duka la Mangi tu ni marufuku kuingia ndani na unatii?
Kama hata huwezi kuelewa mfano rahisi huo, itoshe tu kusema heshimu kazi za watu…. eti daktari aanze kusikiliza ushauri wa mgonjwa na ndugu.!Mjinga akitoa mfano irrelevant
Huna lolote wewe. Huyo Mangi anawezaje kunihudumia bila kunisikiliza. Na kama nikiona hanihudumii ipasavyo inakuwaje? Kama chuoni kwenu mnafundishwa huo ujinga niletee mimi nikufundishe kazi.Kama hata huwezi kuelewa mfano rahisi huo, itoshe tu kusema heshimu kazi za watu…. eti daktari aanze kusikiliza ushauri wa mgonjwa na ndugu.!
Kuna daktari mmoja muhaya pale JKCI anajiona mjuaji sana.Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;
1. Baadhi hawataki kusikiliza ushauri wowote toka kwa mgonjwa kama yeye ni mungu mdogo.
Wapo madaktari wamewaletea madhara makubwa wagongwa kutokana na kutowasikiliza. Mgonjwa mmoja alimwambia daktari asimchome hiyo sindano humletea madhara. Dr akakaza shingo, leo hii mgonjwa kavimba mwili mzima.
2. Kulazimisha ndugu asisogee wakati wa round wodini. Kwangu huu ni utoto. Mimi ndiyo ndugu nina haki ya kusikiliza maelekezo na hali ya mgonjwa wangu. Nina haki ya kusema juu ya maendeleo yake na hata kutoa ushauri. Kwanza mgonjwa mwingine unakuta hajiwezi, hana uwezo wa kujieleza. Daktari anakwambia toka nje.
Kuna siku nikamgomea kutoka akawa mpole.
3. Ubishi wa kijinga
Yupo daktari aliwahi kuacha kitambaa tumboni wakati wa operesheni. Mama yule akamweleza daktari baada ya maumivu kuzidi. Daktari hakufanya uchunguzi wowote. Mama akaenda hospitali ya rufaa wakakuta kitambaa. Akamrudia daktari mkuu basi wamrudishie gharama, wakakataa. Mama akasikiwa na wakili kesi ikaenda mahakamani wanadai 100m.
Vuta nikuvute ikaamuliwa walipe 50m.
4. Muda wa kuona wagonjwa
Wakati huu wa masika unakuta mvua inanyesha huwezi kuleta msosi kwa wakati. Unakutana na nesi anakaza hakuna kupita. Sasa mgonjwa afe njaa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Ongeza na zako....itaendelea
Ushauri
Usimuone daktari kama mdogo wake Mungu ukamuamini kwenye kila kitu, hasa hawa dot.com. Hakikisha unachanganya na zako au unakuwa na mtu wako pembeni wa kupima mwenendo wa matibabu
Akishasema mzungu wao hawapingi wala kushughulisha akili tenaHao maroboti wanaoitwa madokta na manesi ni tatizo katika nchi.
Hawa ndio mabingwa wa kushabikia watu kudungwa machanjo ya corona.
Hawana clinical due diligence, hawana utafiti, hawana ujuzii, hawana utambuzi, wao ni kukariri tu VITINI VYA MEDICAL SCHOOL na kubugia maagizo ya kisiasa kama dodoki.
I wish i could be Rais wa Tanganyika nianze na hawa vibushuti.
Ncha Kali soma hapa wewe nesi uchwaraKuna daktari mmoja muhaya pale JKCI anajiona mjuaji sana.
Nilimwambia anisikilize Mimi mgonjwa kwani nimeugua Ugonjwa wangu kwa miaka thelathini yeye amekuwa daktari chini ya miaka mitano hivyo Nina uzoefu kuliko yeye kwenye suala langu hakuta kunisikiza
Hatuwabezi tunawashauri wasiwe marobotiTatizo ni kujifanya mjuaji kwenye taaluma za watu, imekuwa rahisi sana kuwashambulia na kuwabeza madaktari…. basi ujitibu mwenyewe tu.
Point namba mbili nakubishia. Daktari au mfanya kazi yeyote wa afya haruhusiwi kuoa taarifa ya mgonjwa. Labda mgonjwa mwenyewe akuambie wewe anaumwa nini ila siyo daktari, sheria inawafunga.Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;
1. Baadhi hawataki kusikiliza ushauri wowote toka kwa mgonjwa kama yeye ni mungu mdogo.
Wapo madaktari wamewaletea madhara makubwa wagongwa kutokana na kutowasikiliza. Mgonjwa mmoja alimwambia daktari asimchome hiyo sindano humletea madhara. Dr akakaza shingo, leo hii mgonjwa kavimba mwili mzima.
2. Kulazimisha ndugu asisogee wakati wa round wodini. Kwangu huu ni utoto. Mimi ndiyo ndugu nina haki ya kusikiliza maelekezo na hali ya mgonjwa wangu. Nina haki ya kusema juu ya maendeleo yake na hata kutoa ushauri. Kwanza mgonjwa mwingine unakuta hajiwezi, hana uwezo wa kujieleza. Daktari anakwambia toka nje.
Kuna siku nikamgomea kutoka akawa mpole.
3. Ubishi wa kijinga
Yupo daktari aliwahi kuacha kitambaa tumboni wakati wa operesheni. Mama yule akamweleza daktari baada ya maumivu kuzidi. Daktari hakufanya uchunguzi wowote. Mama akaenda hospitali ya rufaa wakakuta kitambaa. Akamrudia daktari mkuu basi wamrudishie gharama, wakakataa. Mama akasikiwa na wakili kesi ikaenda mahakamani wanadai 100m.
Vuta nikuvute ikaamuliwa walipe 50m.
4. Muda wa kuona wagonjwa
Wakati huu wa masika unakuta mvua inanyesha huwezi kuleta msosi kwa wakati. Unakutana na nesi anakaza hakuna kupita. Sasa mgonjwa afe njaa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Ongeza na zako....itaendelea
Ushauri
Usimuone daktari kama mdogo wake Mungu ukamuamini kwenye kila kitu, hasa hawa dot.com. Hakikisha unachanganya na zako au unakuwa na mtu wako pembeni wa kupima mwenendo wa matibabu
Kwahiyo unajivunia uzoefu wa kuugua kwa miaka 30!Kuna daktari mmoja muhaya pale JKCI anajiona mjuaji sana.
Nilimwambia anisikilize Mimi mgonjwa kwani nimeugua Ugonjwa wangu kwa miaka thelathini yeye amekuwa daktari chini ya miaka mitano hivyo Nina uzoefu kuliko yeye kwenye suala langu hakuta kunisikiza
Alifeli sana ila na wewe ulifeli pia unayo haki ya kumkataa daktari ila sasa kwenye haka kakijiji ketu unajua ratio ya wagonjwa wangapi kwa daktari mmoja ?Kuna daktari mmoja muhaya pale JKCI anajiona mjuaji sana.
Nilimwambia anisikilize Mimi mgonjwa kwani nimeugua Ugonjwa wangu kwa miaka thelathini yeye amekuwa daktari chini ya miaka mitano hivyo Nina uzoefu kuliko yeye kwenye suala langu hakuta kunisikiza
Na wengine wanajiona ni kina mwijaku na baba levo wa MunguNgoja wadogo zake mungu wakusome[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu OKW BOBAN SUNZUHakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;
1. Baadhi hawataki kusikiliza ushauri wowote toka kwa mgonjwa kama yeye ni mungu mdogo.
Wapo madaktari wamewaletea madhara makubwa wagongwa kutokana na kutowasikiliza. Mgonjwa mmoja alimwambia daktari asimchome hiyo sindano humletea madhara. Dr akakaza shingo, leo hii mgonjwa kavimba mwili mzima.
2. Kulazimisha ndugu asisogee wakati wa round wodini. Kwangu huu ni utoto. Mimi ndiyo ndugu nina haki ya kusikiliza maelekezo na hali ya mgonjwa wangu. Nina haki ya kusema juu ya maendeleo yake na hata kutoa ushauri. Kwanza mgonjwa mwingine unakuta hajiwezi, hana uwezo wa kujieleza. Daktari anakwambia toka nje.
Kuna siku nikamgomea kutoka akawa mpole.
3. Ubishi wa kijinga
Yupo daktari aliwahi kuacha kitambaa tumboni wakati wa operesheni. Mama yule akamweleza daktari baada ya maumivu kuzidi. Daktari hakufanya uchunguzi wowote. Mama akaenda hospitali ya rufaa wakakuta kitambaa. Akamrudia daktari mkuu basi wamrudishie gharama, wakakataa. Mama akasikiwa na wakili kesi ikaenda mahakamani wanadai 100m.
Vuta nikuvute ikaamuliwa walipe 50m.
4. Muda wa kuona wagonjwa
Wakati huu wa masika unakuta mvua inanyesha huwezi kuleta msosi kwa wakati. Unakutana na nesi anakaza hakuna kupita. Sasa mgonjwa afe njaa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Ongeza na zako....itaendelea
Ushauri
Usimuone daktari kama mdogo wake Mungu ukamuamini kwenye kila kitu, hasa hawa dot.com. Hakikisha unachanganya na zako au unakuwa na mtu wako pembeni wa kupima mwenendo wa matibabu
Wewe mbishi au ni nesi umejishtukia kiasi kwamba hata huelewi hoja. Sasa asiponisikiliza atajuaje kwa kina hizo dalili? Atajuaje dawa zenye madhara kwa mgonjwa? Mf. Mtu ana vidonda vya tumbo kaenda kutibiwa maumivu ya kiuno daktari anampa Diclofenac. Unadhani akimsikiliza mgonjwa angempa hiyo dawa?Ugonjwa huonekana kwa dalili na vipimo, sio uzoefu na maelezo pekee….. unataka usikilizwe utibiwe kwa mazoea au majibu ya vipimo?
Asante mkuu kwa maoni yako. Wewe umeeleza mzizi wa tatizoMkuu OKW BOBAN SUNZU
Unajua ratio ya wagonjwa kwa daktari mmoja ?
Rafiki unajua jinsi ilivyo ngumu kumtibu mtu anayejihisi kujua anaumwa nini kwa miongozo ya Google?
Ndugu unajua ni jinsi gani madaktari na manesi huukataa uhuru wa fikira na saikolojia ili kukuhudumia ?
By the way ni kweli daktari wa hivyo wapo japo sio wote ila wengi wako hivyo je wajua ni kwanini ?
Ujinga wa serikali yenu , madaktari na manesi ni wachache unafanya kazi mpaka kichwa kinauma , je mishahara inaendana na wanachokifanya ? Haiendani .
Bado hujapigiwa simu na wapuuzi wakuitwa RMO na DMO kuhusu mapato ya zahanati, Kituo cha Afya na hospitali pasipo kujua ni vipi wanatatua adha unazopitia kituoni .
Je wajua hata leo nikubebe nikusomeshe ili uwe daktari unaweza usiweze na ukakimbiaa sababu ile ni wito bila wito huwezi kufanya .
Stop kulalamika waelimishe taratibu ila anza na serikali ikubali makosa ndiyi uje huku .
Pole kwa huduma mbovu ya huyo daktari .
Ila nikukumbushe kuwa siku hizi hata nesi , lab technician , pharmacist , na Clinical officer wote wanajiita madaktari hivyo angali usije kuwa unawalaumu watu tajwa hapa kwa jina la daktari maana kutokana na uhaba wa madaktari basi hata hao kuna roles wanasaidia vituoni .
Usisahau kuwa hali ni mbaya mpaka wale Data clerks wa CTC nao vijijini na mijini nao wanajiita madaktari na pia wanatoa misaada kwa wagonjwa na kutoa description ya magonjwa kisa wako karibu na madaktari.
Pole kwa huduma mbaya uliyopata ila chunguza pia is he a real doctor or preffession attacker .?