utafanyiwa negligence na hutaelewa kama umekuwa mismanaged ...... acha ujuaji kwenye vitu ambavyo huna taaluma navyo.Wewe acha makelele, hao tunawalipa mishahara lazima wapewe MAELEKEZO.
Lazima pawe na mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa ili kusudi mgonjwa apewe nafasi ya kuchagua alternative medications. Ni haki ya kisheria.
Ni vile tu mnakutana na maboya, lakini ingekuwa mimi NAKUZINGUA KWELI KWELII na ukileta fujo NAKUZABA MAKOFI.
Though kuna wazembe wachache pia kama ilivyo kwa wa Tz katka idara zote.