Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

Fika Ocean Road. Fika pale uone vikongwe na waliochoka na saratani wanavyohangaishwa.

Si nadra wagonjwa kufika mapema kabla ya saa Moja asubuhi na kupata tiba saa nne usiku.

Si nadra kwa wagonjwa kufika hospitali kutokea kokote nchini kwenye miadi rasmi na kuambiwa mashine ni mbovu.

Rushwa ni nje nje medical attendants wakiwa mawakala muhimu kwenye kufanikisha hilo.

Ya nini kuandikia mate?
Sasa kuyaona hayo ndiyo kunakupa kigezo chakuingilia kanuni na sheria za taaluma husika. Watanzania ni watu wenye shida sana😂😂😂. Wewe simuwajibikaji mzuri kuliko wote, kasome biomedical engineering ukamantain zile mashine kule Ocean road😂😂😂. Kumbuka pesa ya maintenance ya vifaa tiba haitoki kama mshahara na sio biomedical engineer aitoe mfukoni mwake ni wajibu wa serikari. Wewe unamuandama mtu wa mwisho huku wakati umemuacha muhusika mkuu kule juu. Hii nchi😂😂😂
 
Kuna wale wakuzalisha wake zetu, sijui wakunga n.k Yaani matusi hayaelezeki. Siku nimepeleka mke kujifungua niliumia sana.
 
Sasa kuyaona hayo ndiyo kunakupa kigezo chakuingilia kanuni na sheria za taaluma husika. Watanzania ni watu wenye shida sana😂😂😂. Wewe simuwajibikaji mzuri kuliko wote, kasome biomedical engineering ukamantain zile mashine kule Ocean road😂😂😂. Kumbuka pesa ya maintenance ya vifaa tiba haitoki kama mshahara na sio biomedical engineer aitoe mfukoni mwake ni wajibu wa serikari. Wewe unamuandama mtu wa mwisho huku wakati umemuacha muhusika mkuu kule juu. Hii nchi😂😂😂

Kwani mashine ni mbovu basi? Mbona njuluku zikipenyezwa kupitia hao medical attendants "selectively" wagonjwa wanatibiwa?

Kwani inahitaji biomedical engineering kuyasuluhisha au kuyaona hayo?

Nini uhalali wa kuwaweka wagonjwa kuanzia saa moja asubuhi hadi kuwapa tiba saa mbili au hata nne usiku? Hata wakale wapi wagonjwa hawa Ya Rabi?

"Kwani kujua kuwapangilia wakaja hata ndani ya saa moja wakapata tiba inahitaji biomedics?"

Mwogopeni Mungu ndugu zangu. Yawezekana wagonjwa wengi hata wanakufa kwa kusumbuliwa kwenye kupata tiba, kuliko wanaokufa kwa ugonjwa.

"Rotten systems" kama hizi zinahitaji total "overhaul." Hakuna namna nyingine.

Hakuna hata huruma kIdogo. Wagonjwa maskini hawa wengine ni kutoka mikoani.

Hayo yakiendelea, wagonjwa wengine wanaopenyeza rupia au wanaoletwa na ma V8 au wenye shungi zao, almaarufu kutokea Zenji wao hata foleni hawakai. Tiba hiyo hiyo kwao huduma ni express.
 
Kwani mashine ni mbovu basi? Mbona njuluku zikipenyezwa kupitia hao medical attendants "selectively" wagonjwa wanatibiwa?

Kwani inahitaji biomedical engineering kuyasuluhisha au kuyaona hayo?

Nini uhalali wa kuwaweka wagonjwa kuanzia saa moja asubuhi hadi kuwapa tiba saa mbili au hata nne usiku? HaTA wakale wapi wagonjwa hawa Ya Rabi?

"Kwani kujua kuwapangilia wakaja hata ndani ya saa moja wakapata tiba inahitaji biomedics?"

Mwogopeni Mungu ndugu zangu. Yawezekana wagonjwa wengi hata wanakufa kwa kusumbuliwa kwenye kupata tiba, kuliko wanaokufa kwa ugonjwa.

"Rotten systems" kama hizi zinahitaji total "overhaul." Hakuna namna nyingine.

Hakuna hata huruma kIdogo. Wagonjwa maskini hawa wengine ni kutoka mikoani.

Hayo yakiendelea, wagonjwa wengine wanaoletwa na ma V8 au na shungi zao, almaarufu kutokea Zenji wao hata foleni hawakai. Tiba hiyo hiyo kwao huduma ni express.
Tatizo kamba siyo?
 
Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;

1. Baadhi hawataki kusikiliza ushauri wowote toka kwa mgonjwa kama yeye ni mungu mdogo.
Wapo madaktari wamewaletea madhara makubwa wagongwa kutokana na kutowasikiliza. Mgonjwa mmoja alimwambia daktari asimchome hiyo sindano humletea madhara. Dr akakaza shingo, leo hii mgonjwa kavimba mwili mzima.

2. Kulazimisha ndugu asisogee wakati wa round wodini. Kwangu huu ni utoto. Mimi ndiyo ndugu nina haki ya kusikiliza maelekezo na hali ya mgonjwa wangu. Nina haki ya kusema juu ya maendeleo yake na hata kutoa ushauri. Kwanza mgonjwa mwingine unakuta hajiwezi, hana uwezo wa kujieleza. Daktari anakwambia toka nje.
Kuna siku nikamgomea kutoka akawa mpole.

3. Ubishi wa kijinga
Yupo daktari aliwahi kuacha kitambaa tumboni wakati wa operesheni. Mama yule akamweleza daktari baada ya maumivu kuzidi. Daktari hakufanya uchunguzi wowote. Mama akaenda hospitali ya rufaa wakakuta kitambaa. Akamrudia daktari mkuu basi wamrudishie gharama, wakakataa. Mama akasikiwa na wakili kesi ikaenda mahakamani wanadai 100m.
Vuta nikuvute ikaamuliwa walipe 50m.

4. Muda wa kuona wagonjwa
Wakati huu wa masika unakuta mvua inanyesha huwezi kuleta msosi kwa wakati. Unakutana na nesi anakaza hakuna kupita. Sasa mgonjwa afe njaa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Ongeza na zako....itaendelea

Ushauri
Usimuone daktari kama mdogo wake Mungu ukamuamini kwenye kila kitu, hasa hawa dot.com. Hakikisha unachanganya na zako au unakuwa na mtu wako pembeni wa kupima mwenendo wa matibabu
Wewe ni kati ya wapumbavu na wajuaji wasio na akili. Mnataka kuwapanda kichwani, wewe round wodini unataka ukae ili iweje? Umuelekeze? Si ungemtibia huyo mgonjwa wako nyumbani kwako! Dharau fani za watu kwasababu ni wapole, nenda polisi ukalete huo u much know mavi au jeshini. Hovyo sana, hawa ni lulu tuwatunze, sio kuwatunishia misuli, wanajitoa kwa moyo japo wao pia ni binadamu, mpuuzi sana wewe. Nasema huu ijuaji koko utakucost wewe ama ndugu ama jamaa zako, acha watu wafanye kazi zao. Mbona mkiwa kituo cha polisi mikia matakoni hamtoi maelekezo? Tena hao ata shule walofeli, akili zero.
 
Sasa nyie madaktari WA bongo mna utaalamu gani pumbavu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu kua na staha kidogo, unaongea hivyo kwa kua una afya njema. Omba yasikukute, mapungufu ni kweli yapo ila usitoe tharau kama hizo sio jambo jema, wapo wengi sana wanaishi kupitia mikono ya haohao unawaita hawana kitu, wapumbavu
 
Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao;

1. Baadhi hawataki kusikiliza ushauri wowote toka kwa mgonjwa kama yeye ni mungu mdogo.
Wapo madaktari wamewaletea madhara makubwa wagongwa kutokana na kutowasikiliza. Mgonjwa mmoja alimwambia daktari asimchome hiyo sindano humletea madhara. Dr akakaza shingo, leo hii mgonjwa kavimba mwili mzima.

2. Kulazimisha ndugu asisogee wakati wa round wodini. Kwangu huu ni utoto. Mimi ndiyo ndugu nina haki ya kusikiliza maelekezo na hali ya mgonjwa wangu. Nina haki ya kusema juu ya maendeleo yake na hata kutoa ushauri. Kwanza mgonjwa mwingine unakuta hajiwezi, hana uwezo wa kujieleza. Daktari anakwambia toka nje.
Kuna siku nikamgomea kutoka akawa mpole.

3. Ubishi wa kijinga
Yupo daktari aliwahi kuacha kitambaa tumboni wakati wa operesheni. Mama yule akamweleza daktari baada ya maumivu kuzidi. Daktari hakufanya uchunguzi wowote. Mama akaenda hospitali ya rufaa wakakuta kitambaa. Akamrudia daktari mkuu basi wamrudishie gharama, wakakataa. Mama akasikiwa na wakili kesi ikaenda mahakamani wanadai 100m.
Vuta nikuvute ikaamuliwa walipe 50m.

4. Muda wa kuona wagonjwa
Wakati huu wa masika unakuta mvua inanyesha huwezi kuleta msosi kwa wakati. Unakutana na nesi anakaza hakuna kupita. Sasa mgonjwa afe njaa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Ongeza na zako....itaendelea

Ushauri
Usimuone daktari kama mdogo wake Mungu ukamuamini kwenye kila kitu, hasa hawa dot.com. Hakikisha unachanganya na zako au unakuwa na mtu wako pembeni wa kupima mwenendo wa matibabu
Si nawe uanze kutibu na kuweka taratibu zako?
 
Madaktari na manesi wanafanya kazi kubwa sana,badala ya kuwasakama nadhani ungezidi kuwaombea kwa mungu baba mwenyezi.
Tuwaombee nini hiyo ndio ajira yao,sisi walimu tunafanya kazi ngumu ya kufundisha vilaza mpk wanaelewa,,,askari magereza hukaa magereza kumlinda mfungwa kwahiyo wote ni wafungwa isipokuwa mfungwa mmoja yupo huru...

Hatuwezi kuwadekeza asiyetaka kazi aache,wahitaji wa kazi wapo wengi tu. Waache ujuaji,unataka kumtibu mtu bila kumfanyia investigations za kutosha huo ni uhuni
 
Kuna daktari mmoja muhaya pale JKCI anajiona mjuaji sana.
Nilimwambia anisikilize Mimi mgonjwa kwani nimeugua Ugonjwa wangu kwa miaka thelathini yeye amekuwa daktari chini ya miaka mitano hivyo Nina uzoefu kuliko yeye kwenye suala langu hakuta kunisikiza
Ungempiga kofi angekuelewa
 
Hovyo sana, hawa ni lulu tuwatunze, sio kuwatunishia misuli, wanajitoa kwa moyo japo wao pia ni binadamu, mpuuzi sana wewe.

Wewe acha makelele, hao tunawalipa mishahara lazima wapewe MAELEKEZO.

Lazima pawe na mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa ili kusudi mgonjwa apewe nafasi ya kuchagua alternative medications. Ni haki ya kisheria.

Ni vile tu mnakutana na maboya, lakini ingekuwa mimi NAKUZINGUA KWELI KWELII na ukileta fujo NAKUZABA MAKOFI.
 
Kawaambie polisi. Kwanza wana mishahara gani sasa? 🤣 Maskini tu wale. Na wao pia wana haki zao sio kuwafundisha kazi.
 
Vijijin wafanya biashara akijiona ana duka peke yake anafungua muda anaotaka
Kuna mmoja Yuko Dom kijijini yeye ana duka peke yake,akitoka analifunga,anafungua anavotaka Yaani ukimuudhi utalala giza
 
Binadam pindi anapohitajika sana kuna hali flan ya kutaka kutukuzwa inakuwepo, Ila akishaona hahitajiki anakua mnyenyekevu
 
Back
Top Bottom