Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

Sijasoma comment nyingi ila kwa hii, wakati wa round UTATOKA tu. Nasisitiza Utatoka tu.

Ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa unless awe hajiwezi kwa lolote, et useme wewe ni kakaake sijui mjombaake out.
 
Hasa Ocean Road. Fika pale uone vikongwe na waliochoka na saratani wanavyohangaishwa.
 
Point namba mbili nakubishia. Daktari au mfanya kazi yeyote wa afya haruhusiwi kuoa taarifa ya mgonjwa. Labda mgonjwa mwenyewe akuambie wewe anaumwa nini ila siyo daktari, sheria inawafunga.
Bora ulijibu kwa hekima yaani ndugu aanze kusikiliza taarifa za mgonjwa? Anayepewa taarifa ni mgonjwa yeye ndo aamue akwambie anaumwa nini.
 
Sijasoma comment nyingi ila kwa hii, wakati wa round UTATOKA tu. Nasisitiza Utatoka tu.

Ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa unless awe hajiwezi kwa lolote, et useme wewe ni kakaake sijui mjombaake out.
Soma kwanza uelewe. Tumesema mgonjwa hajiwezi kiasi cha kushindwa kujieleza. Mimi utanitoa halafu baadae nakufuata uniambie ulichoongea na mgonjwa na mimi nikueleze maendeleo ya mgonjwa. Utafanya kazi mara 2
 
Ukitak kuepukana na kero za namna hiyo mkuu usiende vituo vya afya vya serikali, kuna mambo ya hovyo
 
Nisaidie jina lake nikamshughulikie tafadhali
 
Soma kwanza uelewe. Tumesema mgonjwa hajiwezi kiasi cha kushindwa kujieleza. Mimi utanitoa halafu baadae nakufuata uniambie ulichoongea na mgonjwa na mimi nikueleze maendeleo ya mgonjwa. Utafanya kazi mara 2
Nimependa jibu lako, iko hivi ujue privacy na confidentiality ni ishu nyeti sana, kama huyo daktari au nesi alikufukuza basi alifanya kosa kubwa sana ikiwa mgonjwa hajiwezi sababu kuna vitu unaweza kuviona na kuvireport. Alikosea sana kufanya hivyo.

Kama wewe ndo unamhudumia na mgonjwa hajiwezi unakila haki ya kupata taarifa na ushirikishwaji kwa baadhi ya maamuzi.
gracias mkuu.
 
Point namba mbili nakubishia. Daktari au mfanya kazi yeyote wa afya haruhusiwi kuoa taarifa ya mgonjwa. Labda mgonjwa mwenyewe akuambie wewe anaumwa nini ila siyo daktari, sheria inawafunga.
Watu hawajui miiko na kanuni za taaluma husika ila wapo mbioni kukashifu, ataletewa terminologies ambazo yeye mwenyewe hatakuja kuzielewa ila kwakuwa mtanzania ni mtu mbishi, wao ni kubisha tu.
 
Watu hawajui miiko na kanuni za taaluma husika ila wapo mbioni kukashifu, ataletewa terminologies ambazo yeye mwenyewe hatakuja kuzielewa ila kwakuwa mtanzania ni mtu mbishi, wao ni kubisha tu.
Fika Ocean Road. Fika pale uone vikongwe na waliochoka na saratani wanavyohangaishwa.

Si nadra wagonjwa kufika mapema kabla ya saa Moja asubuhi na kupata tiba saa nne usiku.

Si nadra kwa wagonjwa kufika hospitali kutokea kokote nchini kwenye miadi rasmi na kuambiwa mashine ni mbovu.

Rushwa ni nje nje medical attendants wakiwa mawakala muhimu kwenye kufanikisha hilo.

Ya nini kuandikia mate?
 
Inakadiriwa Tanzania daktari mmoja anahudumia wastani wa wagonjwa 20,000. Shirika la afya duniani linapendekeza daktari mmoja kwa wagonjwa 1,000. Hasira na malalamiko yenu kuna mahali mnapaswa muyaelekeze, sio kwa madaktari. Daktari inabidi akusikilize wewe haraka haraka na anataka ukubaliene naye kwa haraka bila kupoteza muda kwa sababu kuna msururu wa wagonjwa wengine huko nje wanaosubiria huduma yake.
 
Tumewakosea nini
 
Madaktari hawa wa kukariri vitini hovyo sana wnafanya kazi bila uweredi.

Madaktari wa bongo kama hukujiongeza anakusababishi kilema ama kifo.

Bora wazamani walikuwa na uwezo darasani lakini hawa wa sasahivi kutoka vyuo vya kata ndio majanga kabisa.

Sasa kuna wale matabibu co na amo wao ni kuvimba wakati iq ndogo. Wengi wanafanya kazi kwa kukariri na madesa.

Kidogo baadhi ya specialists wana ahueni kidogo japo ndo walewale.

Muziki ni hawa COs na Amo nao wanajitambulisha kama madaktari hivyo kuwatapeli wagonjwa.

Yaani matabibu nao kujifanya madaktari nadhani ndio mwanzo wa tatizo
 
Madaktari wangapi mtaani hawana ajira wakati tukinunua magoli na kutoa misaada nchi za nje na kujinasibu kuwa pesa zipo? Hizi takwimu za upungufu wa madaktari ni hewa.
 
Hata hao walioko mtaani wakiingizwa wote kwenye ajira bado kutakuwa na upungufu mkubwa tu wa madaktari nchi hii.

Waingizwe kwanza kwenye ajira tuone. Kulalamika upungufu wakati madaktari kibao wapo mitaani wamegeuka bodaboda unaiona je?
 
Ofcourse sehemu nyingi Cos na Amo wao hujiita madaktari na kuharibu kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…