Wewe acha makelele, hao tunawalipa mishahara lazima wapewe MAELEKEZO.
Lazima pawe na mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa ili kusudi mgonjwa apewe nafasi ya kuchagua alternative medications. Ni haki ya kisheria.
Ni vile tu mnakutana na maboya, lakini ingekuwa mimi NAKUZINGUA KWELI KWELII na ukileta fujo NAKUZABA MAKOFI.