The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Baba ameniacha na miezi tisa (9) 80s huko,mama huwa ananiambiaga aliporudishwa nyumbani kijiji kwetu akiwa mgonjwa alichoweza kutamka ni kunipa jina yeye ali-suggest niitwe "Bahati",mwanae wa pili wa kiume pekee na wa mwisho,kisha hakuweza kusema tena kitu mpaka siku sita mbele alipofariki.R.I.P
Though ni Baba yangu huwa sina yale machungu nae saana sababu labda sikukaa nae,ila binamu yangu aliyenilea na kunipa maisha ndiye huwa ananiuma a lot.R.I.P Bob.
Mungu awarehemu marehemu wote awape pumziko la Amani.Amina!!!