Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Story ndefu Dada yangu, inastahili hata Nyuzi kabsa maan hap haitoshi😳How jaman?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story ndefu Dada yangu, inastahili hata Nyuzi kabsa maan hap haitoshi😳How jaman?
Dahan si yupo.. ? akakumbeleze chumbaniUmenikumbusha bab yangu uhuu wimbo 😭😭😭😭 nalia kinyakyusa saa mpaka majiran wananishangaa hapa msiba utafufuka upya
Hayup acha tu bab alikuwa bab bora dah 😭😭😭Dahan si yupo.. ? akakumbeleze chumbani
Kabsa Ndugu yang yani acha Tu, Hii Dunia kuna watu hawakustahili kuitwa Wazazi, maan hakun kitu kinaumiza kam Wazazi kukufanyia vtu ambvyo hta Watu wasiokujua hawawez kkufanyia,Njoo tuungane hapa mkuu me nshakuelewa maana nikama tuko kundi moja wazaz wapo kama hawapo yani
Asante sana NduguPole sana mkuu
Me namuombea tu babu apumzike salama bibi Mungu ampe maisha marefuKabsa Ndugu yang yani acha Tu, Hii Dunia kuna watu hawakustahili kuitwa Wazazi, maan hakun kitu kinaumiza kam Wazazi kukufanyia vtu ambvyo hta Watu wasiokujua hawawez kkufanyia,
Tena sio kwamb Wameanz kkufanyia ukubwani hapan yani ni tangu mdogo umekuw ukipitia uchungu kwasabb Yao.
ndo maisha yetu yalivyoMwee?????
😔Mungu awapiganie jaman mweeKabsa Ndugu yang yani acha Tu, Hii Dunia kuna watu hawakustahili kuitwa Wazazi, maan hakun kitu kinaumiza kam Wazazi kukufanyia vtu ambvyo hta Watu wasiokujua hawawez kkufanyia,
Tena sio kwamb Wameanz kkufanyia ukubwani hapan yani ni tangu mdogo umekuw ukipitia uchungu kwasabb Yao.
R.I.P Baba Merchante, Mzee kokote uliko tambua kwamba uliacha mpambanaji haswaa, Kwasababu licha ya kukosa malezi yako kabisa katika maisha yangu,bado sikupata hayo malezi kutoka upande wa pili.Kama umelelewa na ndugu, watu baki, au na mama pekee au baba pekee kutokana na kufiwa na mama, au baba ama wazazi wote. Tuwakumbuke na kuwaombea waendelee kulala mahali pema peponi. Nasi tutafuata japo hatujui kama tutakutana njia moja. Tuendelee kumwomba Mungu atupe mwisho mwema.
Nimejikuta siko sawa kwa muda baada ya kumkumbuka marehemu baba aliyekufa nikiwa na miaka mitatu. Kumbukumbu niliyobaki nayo ni kuambiwa na mama kwamba baba alikuwa ananipenda sana[emoji24][emoji24][emoji24].
Mliojaaliwa kulelewa na wazazi wote wawili hongereni na msiache kuwapenda wazazi wenu, wahudumieni msichoke. Hivyo unavyobania kuwapa wazazi katu hutozikwa navyo, watachezea na kutapanya wengine.
Mungu ambariki mama yangu, aendelee kujaaliwa afya njema, amepambana sana mpaka nimefikia hapa.
Poleni sana wahanga, duniani tunapita wote pambaneni na maisha mpaka tone la mwisho la jasho na damu[emoji109].
Andika R.I.P kwa mzazi aliyekwisha tangulia mbele za haki, kuna member atakupa pole kwa kureply comment yako, utajisikia vyema.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu awabariki sana [emoji120]
Daaa!😭😭😭R.I.P Baba Merchante, Mzee kokote uliko tambua kwamba uliacha mpambanaji haswaa, Kwasababu licha ya kukosa malezi yako kabisa katika maisha yangu,bado sikupata hayo malezi kutoka upande wa pili.
Mzee naamini unatambua kwamba,sina kikubwa ila sijawahi kukata tamaa licha ya mapito yalotaka kuchukua uhai wangu.
Mtaa umenilea,mtaa umenifunza nimheshimu hata mtoto mdogo,kichaa bila kusahau walemavu bila kusahau kuwajali hata katika mia yangu wao wapate japo hamsini.
Mungu akinijalia nitafungua kituo cha watoto yatima siku za mbeleni,tulikopita sio poa.
R.I.P SOLDIER[emoji109]
Ubarikiwe To yeye siku ya leo ndio alifariki baba yangu mzazi miaka minne iliyopita ; we do share the same history when it comes to our beloved ones!Kama umelelewa na ndugu, watu baki, au na mama pekee au baba pekee kutokana na kufiwa na mama, au baba ama wazazi wote. Tuwakumbuke na kuwaombea waendelee kulala mahali pema peponi. Nasi tutafuata japo hatujui kama tutakutana njia moja. Tuendelee kumwomba Mungu atupe mwisho mwema.
Nimejikuta siko sawa kwa muda baada ya kumkumbuka marehemu baba aliyekufa nikiwa na miaka mitatu. Kumbukumbu niliyobaki nayo ni kuambiwa na mama kwamba baba alikuwa ananipenda sana😭😭😭.
Mliojaaliwa kulelewa na wazazi wote wawili hongereni na msiache kuwapenda wazazi wenu, wahudumieni msichoke. Hivyo unavyobania kuwapa wazazi katu hutozikwa navyo, watachezea na kutapanya wengine.
Mungu ambariki mama yangu, aendelee kujaaliwa afya njema, amepambana sana mpaka nimefikia hapa.
Poleni sana wahanga, duniani tunapita wote pambaneni na maisha mpaka tone la mwisho la jasho na damu👊.
Andika R.I.P kwa mzazi aliyekwisha tangulia mbele za haki, kuna member atakupa pole kwa kureply comment yako, utajisikia vyema.🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana 🙏
Daah acha tu yani.Daaa![emoji24][emoji24][emoji24]
R.I.P Baba