Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Hizi moment zilikuwa zinaniumiza sana nilipokuwa bado mdogo,nilikuwa nikisikia mtu anatamka habari za baba natamani wazee wao nao wafariki.

Sasa age imeenda na kujitambua nimegundua umuhimu wa kila mtu kuwa na baba huwa nikisikia mtu amefiwa na mzee wake naumia sana hasa awe hajawa stable kimaisha,hapa naelekea msibani Africana dogo aged 31 amefariki jana kaacha katoto ka miaka 3½,siumii kufariki kwa dogo hiyo ni nature naumia huyo mtoto maisha atakayokua nayo sababu nina experience ya kuishi ukiwa bila Baba.

Inaumiza.
Very sorry for the young Man, tuseme ukweli kufiwa na Baba kuna muachia Mama mzigo mkubwa sana wa malezi.

Mimi nimekuwa muhanga wa hili.

Ndiyo maana kwasasa nina bidii ya kujiwekeza ili hata kama nikifa kesho basi Watoto wangu walau wawe na uwezo wa kujilipia Ada hadi ngazi ya Chuo kikuu na wasipitie yale maisha niliishi na Bi Mkubwa kabla naye hajafariki.
 
We,mwondoke humu...chap
Miss you sana mshua wangu mchizi na rafiki yanguu.. soon nitakuona mzee dingi peponi 😊😊😊

Back when I was a child
Before life removed all the innocence
My father would lift me high
And dance with my mother and me and then
Spin me around till I fell asleep
Then up the stairs he would carry me
And I knew for sure I was loved

If I could get another chance
Another walk, another dance with him
I'd play a song that would never ever end
How I'd love, love, love to dance with my father again, ooh
 
Miss you sana mshua wangu mchizi na rafiki yanguu.. soon nitakuona mzee dingi peponi 😊😊😊
View attachment 2719875
Back when I was a child
Before life removed all the innocence
My father would lift me high
And dance with my mother and me and then
Spin me around till I fell asleep
Then up the stairs he would carry me
And I knew for sure I was loved

If I could get another chance
Another walk, another dance with him
I'd play a song that would never ever end
How I'd love, love, love to dance with my father again, ooh
Umenikumbusha bab yangu uhuu wimbo 😭😭😭😭 nalia kinyakyusa saa mpaka majiran wananishangaa hapa msiba utafufuka upya
 
Back
Top Bottom