Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuMimi huwa sipendi sherehe zinazo nihusu kwa 7bu za kutokuwa na mzazi hata mmoja.
Kipindi ninaoa,niligoma kabisa kufanya sherehe kwani nilijua itakuwa chungu kwangu kuwaona wengine wana jimwaya mwaya ukumbini ilihali hakuna mazazi wangu,machozi yange jaa pipa.
Pole sana mkuu....wapumzike Kwa amani😔Nina Baba &mama (mbinguni [emoji120]). Nina mke. Nina mtoto wa kike. Maisha yangu yamezungukwa na mwanamke. Mungu awabariki Wanaume & wanawake woote! You make this world such a blessed place.
[emoji120]
RIP Baba na Mama huko walipo
Pole sana cute....Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza 🙏R.I.P mummy and daddy
binti yenu wa pekee naendelea vizuri zaidi ya jana
haikuwa rahisi ila bado napambana
mngekuwepo ningewasimulia mengi sana yaliyojiri tangu mniache nikiwa na miaka 3
Ila ngoja nsiwachoshe...endeleeni kupumzika huko mlipo naamini kabisa mnaniombea
Asante mkuu.Pole sana mkuu
Hata sasa ni Mungu katufikisha, alikotutoa ni mbalibff usilie tumeshakua sahivi wacha tupambane na hali zetu
😭😭😭😭 Inaumiza sana mkuu ....sanaKupitia Uzi huu inaonesha, Wanaotangulia kufa ni Sisi akina Baba then baadaye kabisa akina Mama.
Mungu asaidie pamoja na majukumu yetu ya kazi ambayo huwa ni hatarishi kwa sehemu kubwa, basi atufanye nasi tufikie Umri wa Uzee.
Tunapowaacha Wake zetu na watoto wadogo huwa wanapata tabu sana ya kuwalea peke yao.
Imagine una kufa mtoto wako wa kiume hata hajafanyiwa tohara, angalia Jinsi Mama atakavyopata tabu kuuguza hicho kidonda maana hata principles zake hazijui masikini.
Imagine mtoto wako baada ya barehe amekuwa hamsikilizi Mama yake tena, laiti ungekuwa hai sauti yako moja tu ingemtosha mtoto kubadirika😫😫