Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

RIP mshua, akitoka zake Masjid pale manyema kila ijumaa lazima anipigie simu ilikuwa lazima Ijumaa akutafute.
 
Wapumzike kwa Amani Wazee wetu tuliwapenda lakin MWENYEZI MUNGU amefanya lililojema zaidi kwao😭🙏tunashukuru kwa maamuzi yake🙏na Wazazi wetu walio hai tunawaombea Afya njema..furaha..na uhai mrefu zaidi kwao waendelee kuishi mpaka tuwaanike nje🙏🙏🙏🙏🙏
 
Ahsante sisy Mama anauma sana, nilishawahi kununua zawadi nikaenda kuviacha kwenye kaburi lake nikaondoka.
Nikiona rafiki zangu wanawapigia simu mama zao naumia km mtu ananichoma kisu chenye ncha kali 😭😭😭
Yeah,mama ni wa muhimu sana.Pole sana cute
 
Pole bff ni maumivu makali tunapitia, mimi nikiona mada km hizi nakimbia kabisa sitaki kukumbuka hapa leo nitalia Sana’a [emoji17][emoji17]
[emoji120]muombee azidi kulala salama, i feel your pain and i plan to help you lessen your struggles.
 
Kupitia Uzi huu inaonesha, Wanaotangulia kufa ni Sisi akina Baba then baadaye kabisa akina Mama.

Mungu asaidie pamoja na majukumu yetu ya kazi ambayo huwa ni hatarishi kwa sehemu kubwa, basi atufanye nasi tufikie Umri wa Uzee.

Tunapowaacha Wake zetu na watoto wadogo huwa wanapata tabu sana ya kuwalea peke yao.

Imagine una kufa mtoto wako wa kiume hata hajafanyiwa tohara, angalia Jinsi Mama atakavyopata tabu kuuguza hicho kidonda maana hata principles zake hazijui masikini.

Imagine mtoto wako baada ya barehe amekuwa hamsikilizi Mama yake tena, laiti ungekuwa hai sauti yako moja tu ingemtosha mtoto kubadirika😫😫
unapiga chenga sana pombe ndo inatumaliza mzee
 
Back
Top Bottom