At least Yaan....maana Kuna wale wamekosa wazazi na watoto pia....very sad 😭Kuna jamaa huwa nawaonea gere kuwa na Wazazi.
Imagine mpo ofisini alafu Co-worker anasema ngoja nipokee simu ya Baba, kupunguza machungu nawe unachukua simu unampigia Mtoto wako walau kusikia anaendeleaje huko nyumbani
Pole sana mkuu....walale pema peponi🙏Baba ameniacha na miezi tisa (9) 80s huko,mama huwa ananiambiaga aliporudishwa nyumbani kijiji kwetu alichoweza kutamka ni kunipa jina kisha hakuweza kusema tena kitu mpaka siku sita mbele alipofariki.R.I.P
Though ni Baba yangu huwa sina yale machungu nae saana sababu labda sikukaa nae,ila binamu yangu aliyenilea na kunipa maisha ndiye huwa ananiuma a lot.R.I.P Bob.
Mungu awarehemu marehemu wote awape pumziko la Amani.Amina!!!
Ni kweli, hata hivyo Mungu ni mwema 🙏🙏At least Yaan....maana Kuna wale wamekosa wazazi na watoto pia....very sad 😭
Hizi moment zilikuwa zinaniumiza sana nilipokuwa bado mdogo,nilikuwa nikisikia mtu anatamka habari za baba natamani wazee wao nao wafariki.Kuna jamaa huwa nawaonea gere kuwa na Wazazi.
Imagine mpo ofisini alafu Co-worker anasema ngoja nipokee simu ya Baba, kupunguza machungu nawe unachukua simu unampigia Mtoto wako walau kusikia anaendeleaje huko nyumbani
🙏🙏🙏🙏Hakika ni mwema sana
Shukrani & Amina!Pole sana mkuu....walale pema peponi🙏
Kabisa now umekuw mpaka National Anthem anataka kukuoa bila mahali wanyakyusa tumegomaAsante sana mdogo wangu,Mungu mwema
Ahsante.Inaumiza sana Kwa kweli....pole sana wangu
😭 Ubarikiwe sana Kwa kuwa na moyo huo.....kuondokewa na wazazi inaumiza sana Kwa kweli.pole yakeDah poleni sana, Nakumbuka nikiwa mdogo rafiki yangu alimpoteza baba yake dah yale maumivu ni kama nilihisi nimepata mimi kilichotokea nikawa namuhurumia sana na nikawa nampenda sana yule rafiki yangu, ukimzingua lazima niingilie kati had leo jamaa ni mwanangu sana.
🤣🤣 Utani msibani😊Kabisa now umekuw mpaka National Anthem anataka kukuoa bila mahali wanyakyusa tumegoma