Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

😭😭😭πŸ˜₯πŸ˜₯Aisee....so sad
 
lifestyle ya wanaume wengi middle aged hapa tz ni pombe nyingi na nyama.... vinaleta pressure, visukari n.k...

pressure ndo inaongoza kwa kuua watanzania
Nashukuru Mungu hadi umri huu nilio nao sijawahi kutumia Kilevi.

Ila hapo kwenye nyama naona napata shida, nyama za mbuzi na kuku huwa sipitishi siku 3 bila kuzitumia.
 
Pole sana mleta mada, na wote waliofikwa na changamoto km hiyo! Tunawaombea kwa Mungu ili awajalie yote mema, nao waliotangulia awajalie pumziko la Milele, AMINA.
Raha ya Milele uwape ee Bwana, na Mwanga wa Milele uwajalie, wapumzike kwa Amani, AMINA.
 
Ameen
 
Endelea Kupumzika kwa amani Mama yangu, bado unaishi kwenye maisha yangu
 
Sifa ya kiumbe hai:-
  • Kuzaliwa
  • Kuishi
  • Kufa
Wote tuliomo humu, tumebakiza hiyo hatua moja ya mwisho tu; ishi na watu vizuri, tuache mbwembwe sisi wote ni wapitaji tu.
 
Sifa ya kiumbe hai:-
  • Kuzaliwa
  • Kuishi
  • Kufa
Wote tuliomo humu, tumebakiza hiyo hatua moja ya mwisho tu; ishi na watu vizuri, tuache mbwembwe sisi wote ni wapitaji tu.
Hakika
 
Amina, barikiwa sana
 
Mama....it is 12 years down the line since you left us. With sorrow and much pain we appreciate for the love,care and unity that you gave us as a family.
You are missed by your children and your grand children as well.
May God enlighten your way till when we shall meet in the spiritual world.
Goodbye MAMA.
 
Poleni sana wapendwa mliofiwa na wazazi!

Binafsi huwa Naomba sana mungu kuwaombea wanangu ikitokea nikafariki nife wakiwa wameshaweza kujiongoza na kujitegemea!!

Mama alikua ananidekeza sana kuanzia utoto hadi nakua mkubwa mpaka nilipopata Kazi still aliendelea kunidekeza!
Sasahivi anaumwa dahhh!!!!!

Hakuna kama mama na tunatakiwa kuwajali na kuwathamini sana wazazi wetu!

Live longer mamaa/ papaa!πŸ™πŸ™
 
Live longer our parents....πŸ™πŸ™πŸ™
 
Continue to rest in peace MamaπŸ˜₯πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…