Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Watibeli ili uoe sharti binti umchukue katika uanawali wake. Bikira safi kabisa.
Na hiyo haimaanishi akizingua hupigi chini. Akizingua kwa makosa makuu matatu
1. Ku-cheat
2. Ushirikina
3. Kutaka kukuua au kukuangusha au kugeuka opponent mkubwa.
Mwanamke ili umuoe lazima umkute bikra na sio vinginevyo.
Watibeli hatutoi bikra ya mwanamke ambaye hatutamuoa.
Pia tunaharibu ambavyo vilikwisha haribika.
Tunachezea vilivyokwisha chezewa.
But kamwe hatutaharibu kitu ambacho hakijaharibika wala kuharibiwa.
Ndivyo Watibeli tulivyo na dunia tunaiendesha hivyo