Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:
Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?
Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika)?
Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?
Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!😀😀😀😛