Leo zinapangwa mechi za robo fainali Klabu Bingwa Afrika, Simba chagueni wenyewe kati ya hawa

Leo zinapangwa mechi za robo fainali Klabu Bingwa Afrika, Simba chagueni wenyewe kati ya hawa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:

Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?

Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika)?

Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?

Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!😀😀😀😛
 
Droo inawezekana kuwakutanisha
Hapana Sheria iko hivi,
1:Timu zilizofuzu zilizokuwa kundi moja haziwezi kukutana robo fainali.
2:Mshindi wa kwanza wa kundi hawezi kukutana robo fainali na mshindi wa pili(katika kundi hilo hilo)
3:Mshindi wa pili wa kundi match ya kwanza ataanzia nyumbani na kumalizi ugenini.
4:Mshindi wa kwanza atacheza na mshindi wa pili(asiye wa kundi lake).
HIVYO BASI SIMBA ATACHEZA NA MMOJA KATI YA HAWA

1:ESPERANCE
2:WYDAD
3:MAZEMBE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watupe hayo "Mazembe" tuyapige Megawatts 2 tu za haraka!
 
Hahah kwahio kumbe jina tu ila jamaa ana umeme sana. Goli 8 watatuua
Hahaha Mkuu huyo jamaa balaa sana Ac Vita akasome, kuanzia 2009 - 2019 kachukua Champions League(CCL) mara 5,Shirikisho(CCC)mara 3,semi final (CCL) mara 8,African Cup mara 1,kacheza club bingwa Dunia fainali na Inter Millan,si mchezo mkuu!!!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha a Mashabiki wa Yanga bwana wanafuatlia habar za simba kuliko hata za Yanga yao, Nweis asante kwa taarifa ila Rais wa Club na CEO wameshaenda kwenye upangaji wa Draw wangeleta tu taarifa kwa team yetu.
 
Back
Top Bottom