Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Droo inawezekana kuwakutanisha
Yaan nyie mashabiki wa Yanga hamjui dunia inavoenda lakn hamtak kuelekezwaDroo inawezekana kuwakutanisha
Huo ndiyo ukweli. Subiri ujioneeYaan nyie mashabiki wa Yanga hamjui dunia inavoenda lakn hamtak kuelekezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Sheria iko hivi,Droo inawezekana kuwakutanisha
Mkuu mkongo ni hatari zaidi me nahisi!!..Tukimpata mkongo mwingine itapendeza sana
Watupe hayo "Mazembe" tuyapige Megawatts 2 tu za haraka!Hapana Sheria iko hivi,
1:Timu zilizofuzu zilizokuwa kundi moja haziwezi kukutana robo fainali.
2:Mshindi wa kwanza wa kundi hawezi kukutana robo fainali na mshindi wa pili(katika kundi hilo hilo)
3:Mshindi wa pili wa kundi match ya kwanza ataanzia nyumbani na kumalizi ugenini.
4:Mshindi wa kwanza atacheza na mshindi wa pili(asiye wa kundi lake).
HIVYO BASI SIMBA ATACHEZA NA MMOJA KATI YA HAWA
1:ESPERANCE
2:WYDAD
3:MAZEMBE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakutani kwa namna yoyote ile.Droo inawezekana kuwakutanisha
Hahaha Mkuu huyu Mazembe mbaya sana anapiga watu 8:0 si mchezo,me nadhan watupe Mwarabu tumkaange na jua la saa 8 atatokota vyema kabisa!!..Watupe hayo "Mazembe" tuyapige Megawatts 2 tu za haraka!
Hahah kwahio kumbe jina tu ila jamaa ana umeme sana. Goli 8 watatuuaHahaha Mkuu huyu Mazembe mbaya sana anapiga watu 8:0 si mchezo,me nadhan watupe Mwarabu tumkaange na jua la saa 8 atatokota vyema kabisa!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mkuu huyo jamaa balaa sana Ac Vita akasome, kuanzia 2009 - 2019 kachukua Champions League(CCL) mara 5,Shirikisho(CCC)mara 3,semi final (CCL) mara 8,African Cup mara 1,kacheza club bingwa Dunia fainali na Inter Millan,si mchezo mkuu!!!..Hahah kwahio kumbe jina tu ila jamaa ana umeme sana. Goli 8 watatuua
Mtani wangu,huyu Mazembe si mchezo,kila la heri lakini.Tukimpata mkongo mwingine itapendeza sana
Anayepanga/kupendekeza muda wa game ni nani?Hahaha Mkuu huyu Mazembe mbaya sana anapiga watu 8:0 si mchezo,me nadhan watupe Mwarabu tumkaange na jua la saa 8 atatokota vyema kabisa!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ kuna kupona kweli hapa!!!!?Hahaha Mkuu huyo jamaa balaa sana Ac Vita akasome, kuanzia 2009 - 2019 kachukua Champions League(CCL) mara 5,Shirikisho(CCC)mara 3,semi final (CCL) mara 8,African Cup mara 1,kacheza club bingwa Dunia fainali na Inter Millan,si mchezo mkuu!!!..
Sent using Jamii Forums mobile app