Leo zinapangwa mechi za robo fainali Klabu Bingwa Afrika, Simba chagueni wenyewe kati ya hawa

Hahaha Mkuu huyu Mazembe mbaya sana anapiga watu 8:0 si mchezo,me nadhan watupe Mwarabu tumkaange na jua la saa 8 atatokota vyema kabisa!!..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndivyo mnavyojidanganya kwenye kahawa! Eti goli 8 tim yenyewe wamecheza na club africain. Ombeni mkutane na Tp mazembe atlst mtawamudu, ila co makonki master Wydad Casablanca au Esperance de tunis. Mtapigwa nyingi mwanze kulialia humu.


Kila la heri tim yangu Mapharaoh
 
watupe yeyote hata kandambili tutamfunga tu
 


Mkuu, mikia wakikutanishwa mmoja wao kat ya wydad or Esperance wamekwisha. Tena naombea wanyukwe nyingi sana ao mikia fc 😁😁
 
simba sababu anaanzia nyumbani bora apangiwe mazembe.. simba ana chance kubwa ya kumtoa mazembe.. kuliko kumtoa wydad au esperence kwa game ya pili ya kumalizia away atapigwa nyingi sana kule...

Umeongea point. Kwa mazembe ni rahisi kumtoa,ila co kwa wydad au Esperance.
 
Ukiwa na imani waweza panda mlima usiopandika!!
"With faith you can...."
 


Achana na marekodi,mazembe kwa sasa awako vizuli kama Esperance na wydad. Heli 2kutane na mazembe.

Mungu ibariki al ahaly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…