Leo zinapangwa mechi za robo fainali Klabu Bingwa Afrika, Simba chagueni wenyewe kati ya hawa

Ni rahisi sana Simba kuwafunga waarabu magoli kwa difference ya 1+ kutokana na joto kali la Dar na pia ngozi za waarabu kutoweza himili joto kali, endapo mechi itachezwa jioni ya saa kumi au mchana. ila ni ngumu sana kuifunga T.P Mazembe kwa difference ya 1+ kwasababu wanaweza kuendana na hali ya hewa iliyopo Dar. Na kufanya mechi ya marudio kuwa ngumu sana na Simba.

Rejea Simba vs Nkana goal difference ilikuwa ni moja tu uwanja wa taifa. (3 kwa 2)

Mechi ya Simba vs Vita goal difference ilikuwa ni moja pia. (2 kwa moja)

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Nkana Simba ilishinda 3-1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza alietoa Uzi sio mwanamichezo...Whydad Casablanca kacheza final gani msimu uliopita au ya Ndondo Cup? Kama mashabiki anashindwa kutofautisha Whydad Casablanca na Raja Casablanca anatia Shaka!

#NGUVU MOJA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upande wa pili timu zote Zenye uwezekano wa kukutana na Simba.... Zinamtaka Simba .... kwamba ndo Mwenye afadhali... Kwa hyo yeyote atakayekutana na Simba Lazima apige vigelegele...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu aliekudanganya nani?

Nimepitia website nyingi nyinig sana za michezo africa na blogs za nchi shindani,amini usiamini Simba ndo tishio katika timu zote!!

Mpaka sasa,izo timu kubwa (Mazembe,Esperance na Wydad) wana hofu ya kupangwa na Simba kwasababu zifuatazo

Kamfunga mwarabu JS Saoura
Kamfunga mwanafainali wa CAF CL Al Ahly
Kamfunga Bingwa wa shirikisho AS Vita

Kamwe usije ukadhani kuna timu inaomba ipangiwe na Simba, ayo matokeo hapo juu acha sisi wabongo tusiojua mpira tuendelee kuyachukulia poa.Walio kwenye competition yanawatisha kuliko tunavodhania.

Kama info zako unategemea shaffih dauda,kwa haji manara,udaku special na instagram,basi hautaweza kunielewa

Pitia nyuzi na blogs mbalimbali za africa za michezo ndo utanielewa
 
vipi simba nao wanasemaje? Wanaombwa wakutane na nani?
 
Kwanza alietoa Uzi sio mwanamichezo...Whydad Casablanca kacheza final gani msimu uliopita au ya Ndondo Cup? Kama mashabiki anashindwa kutofautisha Whydad Casablanca na Raja Casablanca anatia Shaka!

#NGUVU MOJA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipenda kukosoa jifunze kuwa sahihi,kama ambavyo mwenzako alivyochanganya timu hizo mbili ndivyo nawe ulivyokosea kuita Whydad wakati kiusahihi ni Wydad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi simba nao wanasemaje? Wanaombwa wakutane na nani?

Yoyote yule Simba hana cha kupoteza

Kama alijiwekea malengo na ameshayapita zaidi ya yale aliyojiwekea then hakuna regret

Simba anenda kucheza mpira bila pressure wala wasiwasi...Ila hawezi kubweteka kwakua anataka kufika mbali zaidi
 
sawa
 
bora waarabu kuliko TP Mazembe englebert ya congo kinshasa, ni shida

Write your reply...
 
TP mazembe kawaida tu kwenye ligi round ya kwanza kapigwa na As Vita 3-0 so level yetu tu japokuwa droo inaweza kuwa Simba vs WYDAD CASABLANCA au TP mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mbona mlifungwa na mbao ila mkampiga al ahly? Tofautisha kucheza ligi ya ndani na mechi za kimataifa.
 
Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:

Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?

Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika)?

Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?

Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!😀😀😀😛
Vyura bhana, Bado tabia za fisi zinaendelea, hii mikono huwa haidondoki ila inamfanya tu binadamu kubalance mwendo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:

Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?

Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika)?

Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?

Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!😀😀😀😛
Nyie ndala chagueni mnataka kushabikia ipi?
 
Back
Top Bottom