Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Wewe ni mnyonge wa magufuri?
 
Makwenzi tu nitakuja niwashushe nipande Mimi niwaonyeshe how real comedy should be
Nitakuja... niwashushe... nipande... niwaonyeshe.

Wewe ni kama fisi unayemmendea mtu anayetembea ukitegemea mkono wake utaanguka ule.

Anzisha comedy yako, iweke hewani, halafu njoo uponde za wenzako.

Tulinganishe.

Vinginevyo unaweza kuonekana unapiga kelele kwa chuki binafsi tu.
 
Huo mfano na mfanano wa Fisi usinitolee Mimi hata ule wa Tai na Kunguru pia km ulitaka uutumie pia usinitolee Mimi
 
BOT imejaa UDSM,IFM,Mzumbe,Saut na SUA only that hata UDOM walikuwa hawaaminiki mpaka recently.
TEKU hata aoplication yako hawaisomi wanaichana chana
Wanachaguana tu. Haya tumeyaona lakini kazi wanapata. SAUT pia waliita chuo cha kata sasa wanaikubali. Ni maisha tu.
 
Yani unamsema Leonardo anajisifia kua ni msomi,kwa njia ya wewe kujisifia zaidi yake kua wewe ni msomi kumshinda yeye!

Yule anafanya Comedy ila wewe umejisifia kiuhalisia,

So,hapa tatizo ni wewe na sio Leanardo,

Tatizo huu uzi umekuja speed sana kuuanzisha mpaka ukasahau kichwa chako njiani.
 
ndio nani huyo kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…