Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Humu kumekua na ugonjwa mkubwa sana wanaume kua na wivu kama watoto wa kike , badilisha chaneli mwenzio anatafuta mkate wake wa kila siku na hajamuibia mtu.
 
Chuki izi nazionaga ata juu ya mpoki, mtu anaigiza then masikini utasikia aache dharau. Watu mnashindwa kutofautisha kat ya comedy na uhalisia
 
Mimi naona mleta mada una wivu. Alisema Snoop Dog kwamba ukiona kijana mdogo anauza maji juani nunua hata kama huna kiu kwasababu angeweza kuuza madawa ya kulevya akiwa kivulini. Hawa vijana wadogo tuwasapoti kwa kuweza kujiajiri kupitia vipaji vyao. Sanaa ya uchekeshaji ni ngumu kuliko unavyodhani.
Bora yeye anayetumia walau maarifa yake nje ya taaluma yake kujipatia kipato, kuliko wenye mavyeti alafu hawayafanyii kazi yako kabatini.
 
Chuki izi nazionaga ata juu ya mpoki, mtu anaigiza then masikini utasikia aache dharau. Watu mnashindwa kutofautisha kat ya comedy na uhalisia
Mpoki hata kama we ni masikini utacheka tu,Yeye ni comedian maana unajua anaigiza,sasa huyu mbwiga analazimisha ucheke kwa kusema mana yake ni mwalimu,niseme tu leonardo ji mcheshi sio mchekeshaji
 
Bada ya
Una mitizamo na character vya kiswahili sana,
Mbona kwenye siasa, mpira na muziki watu wanachambua wanasiasia, wachezaji, makocha na wanamuzuki na kutoa maoni yao? Kwa nini iwe nongwa mtu akitoa maoni kuhusu hao wanakomedi wenu ambao wengi wanafanya comedy za ubora mdogo??
Uchambuzi wa hayo yote watu huja na solutions tuambie Sasa wewe Kama mchambuzi unae jua ku create content toa muongozo kuwa wafuate muongozo upi....mbona eliud anachekesha kupitia maisha yake halisi! na hamsemi au kwa kuwa yeye anaonesha maisha ya chini ndo mnapenda!?? Msiforce watu wafanane!Tatizo ni kwamba labda uelewa wako ni mdogo kwenye issue ya content! Joti ni mwanaume na content yake amebase kwenye uanamke na anachekesha watu kupitia hiyo content! Mpoki content yake Mara nyingi anaelezea maisha ya juu uhaya mwingi na watu wanafurahia content yake, niacheni kijana wa watu, mpira, siasa na michezo havilengi kujenga content ni vitu vya field.....huku kwenye comedy ni mtu anakaa tu anabuni Mimi nakuja na idea hii Basi.....binafsi Kuna wachekeshaji huwa siwaelewi kabisa Ila kwa kuwa naelewa kuwa si kila message wanazo deliver Hawa watu lazima zinifurahishe mimi naacha tu kumfuatilia huyo MTU bila ya kumdiss!
 
Ntakupa mfano nyumba ninayoishi Mimi wote ni comedy tosha yaan tunaweza tukagonga show watu wakacheka na wasichoke kucheka sijasema wasichoke kufurahi nimekwambia wasichoke kucheka vitu vinashuka auto tu sio mpaka ukalale na script usiku mzima hayo ni maigizo ya comedy
Acha blah blah.... Huna qualification yeyote
Hata hao unaosema comedians wakubwa write their jokes mpaka wapo wengine waliingia kwenye ugomvi sababu ya kuibiana jokes....
Ukitaka kuchekesha familia yako kama wewe huhitaji kutumia akili nyingi utachekesha tu hovyo hovyo pale unapojisikia kama unachokifanya wewe na familia yako.

Ila ukitaka ufanye kama kazi na ukae kwenye game , lazima uwe na akili ya kukaa kusoma jamii uliyoichagua na yanayoendelea then uandike script upande nayo jukwaani, jinsi unavyopresent ndo itaonesha if you are a natural comedian au unaforce. Ndo maana waigizaji wote wana script lakini kuna watu ukiangalia huhisi kama ni script na wengine unaona kabisa anaongea kama amekariri anahangaika asisahau

So until you manage one successful comedian or one of your family members become a career comedian just chill and endelea na mambo yako instead of kuleta ujuaji kwenye vitu ambayo unaonekana mtupu tu na huna cha maana umecontribute
 
Mimi nashangaa sana mtu anayeponda comedy ya kibongo.

Bongo kulikuwa hakuna comedy kabisa, ndiyo watu wanaanzisha.

Badala ya kuona kuwa hawa watu wanaanzisha industry, wapewe msaada na ushirikiano, mnawaponda.
Sio comedy ni maigizo ya comedy walikua wanapewa scene za kwenye mageti km walinzi wanaigiza comedy hawafanyi comedy you know comedy the
Ndo maana waigizaji wote wana script
Comedy sio maigizo aisee comedy ni kitu kingine kabisa it's a joke naweza nikakufanyia Wewe ukachukia mwingine pale anacheka sio drama on a written script ni kitu kipo Auto sio cha kuforce km nyinyi wengi mnavyochukulia.

Sijui nikuelezeeje Ila ni tofauti na uelewa wako comedy sio kitu cha kukaririsha usiku mzima eti unakesha unameza script comedy ni mtiririko wa matukio unayoyaona na unayokutana nayo sio kitu cha kuogizia km hukuwepo katika eneo la tukio, ntakupa mfano Erick Omond kuna show 1 ya Cheka tu aliboronga sababu kuna kitu alikielezea kuhusu Tanzania ili awachekeshe watu bila kujua kwamba hicho kitu hakipo hivyo Tanzania unanielewa vizuri ili upafomu vizuri comedy inabidi uvae uhusika totally sio unakua muigizaji msimuliaji unatuigizia comedy?
 
Sio comedy ni maigizo ya comedy walikua wanapewa scene za kwenye mageti km walinzi wanaigiza comedy hawafanyi comedy you know comedy the
Comedy sio maigizo aisee comedy ni kitu kingine kabisa it's a joke naweza nikakufanyia Wewe ukachukia mwingine pale anacheka sio drama on a written script ni kitu kipo Auto sio cha kuforce km nyinyi wengi mnavyochukulia
Wafanye comedy, wasifanye comedy, as long as kuna watu wanamkubali na wanafurahia, wewe kibachokuuma ni kipi?

Wewe yako iko wapi?

Au una wivu?
 
Wafanye comedy, wasifanye comedy, as long as kuna watu wanamkubali na wanafurahia, wewe kibachokuuma ni kipi?

Wewe yako iko wapi?

Au una wivu?
Ebwana nimeshasema hapo wafanye comedy sio maigizo ya comedy sijui unanielewa vizuri?
 
Umepeleka mjini comedians wangapi?
Otherwise huna cha maana buda, kelele nyingi nyuma ya keyboard kumbe mchumba tu
Wewe MJINI umewapeleka wangapi? Mchumba Mama yako nipo nae hapa muda huu anauchezea alioufuata
 
Back
Top Bottom