Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Acha makasiriko kama na wewe unadiploma be proud of
 
Wafuatilie mbumbumbu wenzio, mwache dogo awafurahishe waliobaki!
 
Atakuwa ndio msomi kwao mkuu,Wacha ajitape!
 
Hata kama unaona hachekeshi wewe cheka tu ili kumuunga mkono
 
Bongo wachekeshaji hawachekeshi [hutowaona wakichekesha] wanaoigiza kuchekesha sio wachekeshaji ni wafurahishaji ndio hao unawaona kwenye majukwaa na pale juu wanapanda na full script nyuma wana walimu wao kipaji hakifundishwi darasani ni kipo tu

Uchekeshaji hautakiwi kua scripted uchekeshaji ni kitu auto unaflow TU mwanzo mwisho mtu haoni km vile unafanya script scroll 📜
 
Kama ni comedy, kwa nini unaichukulia serious hivi?
 
Roho mbaya tu kuna dhambi gani mtu kujisifu yaani nyinyi mpaka mtu afe ndio msome wasifu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…