Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mtu anajikweza kielimu kwenye vichekesho?Huyo ni wewe sasa😴😄 mimi binafsi nimesomana naekewa maana ya kusoma ila sipendi mtu anayejikwrza kielimu kila mtu jadoma siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anajikweza kielimu kwenye vichekesho?Huyo ni wewe sasa😴😄 mimi binafsi nimesomana naekewa maana ya kusoma ila sipendi mtu anayejikwrza kielimu kila mtu jadoma siku hizi
Mzee wangu Kiranga umesema Jambo moja la Msingi sana Ila kuna kitu umesahau huyo dada alimgundua huyo Jamaa yenu ana talent ya uchekeshaji uchekeshaji ni kitu kina utofauti wake unajua sio kila mtu anaweza kuchekesha na kuna akina Sisi ambao talent tunayo Ila tukiona watu wanacheka tunaona km wanatucheka kwa hio tunachukia talent tuliyonayo ndio maana nakwambia wachekeshaji hawachekeshi wanaochekesha wanaigiza kuchekeshaJuzi tulikuwa tunaongea mazungumzo fulani ya siasa watu wengi.
Wengine walikuwa wanaongea sana, wengine tunasikiliza sana.
Basi kuna jamaa mmoja alikuwa anasema sana, dada mmoja kila akimsikia huyo jamaa anacheka, anasema kuwa huyo jamaa anamchekesha sana maneno yake.
Mimi nilishangaa sana. Kwa sababu sikuona kwamba maneno ya yule jamaa yalikuwa yanachekesha sana. Kwa sababu maneno yalikuwa ya kisiasa zaidi. Wala hakukuwa na mpango wa kuchekesha watu.
Kwa nini nimetoa habari hii?
Habari hii ilinifikirisha sana kuhusu kuchekesha ni nini, na nani anachekesha.
Watu tuko tofauti sana, na sababu za mtu kuchekeshwa na kitu gulani ni complex sana. Kuna watu wanaweza kuchekeshwa na sauti ya mtu tu, au muonekano wake tu, bika kujali atasema nini. Kuna watu wanachekeshwa na maneno ya mtu tu, bika kijali anaongelea nini.
Nikaja kukubali kwamba, kila mtu ana uhuru wa kuamua nini kinamchekesha, na hiyo ninhaki yake.
Na hivyo, kampeni kubwa ya kusema hiki hakichekeshi, ni kampeni ya ajabu.
Kitu kisipochekesha, acha kuangakia, fanya wewe unachofikiri kinachekesha, ukiweke sokoni watu walinganishe.
Kama chako kinachekwsha zaidi, kitamfunika tu huyo mtu asiyejua kuchekesha.
Sasa wewe hujafanya lolote unabeza watu waliojaribu kwa sababu hawajafanya unavyotaka wewe?
Vyovyote vile, waachieni watu wafanye wanavyotaka na wanavyoweza.Mzee wangu Kiranga umesema Jambo moja la Msingi sana Ila kuna kitu umesahau huyo dada alimgundua huyo Jamaa yenu ana talent ya uchekeshaji uchekeshaji ni kitu kina utofauti wake unajua sio kila mtu anaweza kuchekesha na kuna akina Sisi ambao talent tunayo Ila tukiona watu wanacheka tunaona km wanatucheka kwa hio tunachukia talent tuliyonayo ndio maana nakwambia wachekeshaji hawachekeshi wanaochekesha wanaigiza kuchekesha
Angalau sasa umeelewa kaka Mkubwa ingawa imekuchukua muda sana kuelewaVyovyote vile, waachieni watu wafanye wanavyotaka na wanavyoweza.
Na kama nyie mnaona kuna mapungufu, fanyeni na nyie halafu tuwekeeni tuone hiyo tofauti.
Mkisemasema tu vibaya bila kuweka chenu ndiyo mnawafanya watu waseme ni wivu tu.
Nimeelewa nini?Angalau sasa umeelewa kaka Mkubwa ingawa imekuchukua muda sana kuelewa
Ntakupa mfano nyumba ninayoishi Mimi wote ni comedy tosha yaan tunaweza tukagonga show watu wakacheka na wasichoke kucheka sijasema wasichoke kufurahi nimekwambia wasichoke kucheka vitu vinashuka auto tu sio mpaka ukalale na script usiku mzima hayo ni maigizo ya comedyLazima ichujue muda.
Tuna tofauti nyingi zikiwamo za kimsingi za kifalsafa, hatuwezi kuelewana mara moja.
Kwani dhambi kujisifu, wako wanajisifu wao wazuri wako wanajisifu wana pesa na wako wanajisifu wamezaliwa Kariakoo sasa kwani Kariakoo kazaliwa peke yake, ni mtu kajisifu sawa tu hakuna kosa wewe msikilizaji ndio utaamua kusikiliza au kupuuza. Asiseme degree yake sio anakufa ndio utasikia ana degree hapo tena itamsaidia nini?Ndaro na dula oia ni wasomi huwezi kuwasikia wakijisifu kuwa wana elimu,degree nani hana siku hizi??
Ni hivi, comedy ziko za aina nyingi na kila siku zinazaliwa nyingine.Ntakupa mfano nyumba ninayoishi Mimi wote ni comedy tosha yaan tunaweza tukagonga show watu wakacheka na wasichoke kucheka sijasema wasichoke kufurahi nimekwambia wasichoke kucheka vitu vinashuka auto tu sio mpaka ukalale na script usiku mzima hayo ni maigizo ya comedy
Ndio maigizo ya comedy hayo kwani hujasikia?Kwani dhambi kujisifu, wako wanajisifu wao wazuri wako wanajisifu wana pesa na wako wanajisifu wamezaliwa Kariakoo sasa kwani Kariakoo kazaliwa peke yake, ni mtu kajisifu sawa tu hakuna kosa wewe msikilizaji ndio utaamua kusikiliza au kupuuza. Asiseme degree yake sio anakufa ndio utasikia ana degree hapo tena itamsaidia nini?
Nani kakupa wewe cheo cha kusema hii ni comedy na haya ni maigizo ya comedy?Ndio maigizo ya comedy hayo kwani hujasikia?
Sijapingana na Wewe mkuu Ila naomba ukubariane na Mimi kwenye Jambo moja wale sio wachekeshaji (comedians) ni wafurahishaji (cheerleaders) ukiangalia American football kuna vile vidada vinachezacheza uwanjani kufurahisha uwanja ndio hawa Jamaa wanafurahisha umati sio kwamba wanachekeshaNi hivi, comedy ziko za aina nyingi na kila siku zinazaliwa nyingine.
Na zina audience tofauti.
Kwa hivyo, ukiona haikupendezi, acha kuangalia angakia unayopenda.
Hii ni sanaa, haina SI unit.
Kwa nini mnataka kulazimisha mnachopenda nyie?
Mimi sioendi horror movie, lqkini siwezinkusema horror movies ni mbaya.
Kuna watu wanaoenda.
Sasa kwa nini niseme horror movie ni mbaya kwa sababu mimi sizipendi?
Nimekuuliza mara kadhaa.Sijapingana na Wewe mkuu Ila naomba ukubariane na Mimi kwenye Jambo moja wale sio wachekeshaji (comedians) ni wafurahishaji (cheerleaders) ukiangalia American football kuna vile vidada vinachezacheza uwanjani kufurahisha uwanja ndio hawa Jamaa wanafurahisha umati sio kwamba wanachekesha
Nimeshakwambia mara kadhaa huko Juu jaribu kupitia comment Mkuu Mimi ni comedy master kiraka nafuatilia show zote za Cheka Plus kwa hio ninachokwambia nakielewaNimekuuliza mara kadhaa.
Wewe una qualifications gani za ku judge nani ni comedian na nani ni cheerleader.
Hujajibu.
Vyovyote utakavyotafasiri Ila kwangu Mimi ni mfurahishajiKwanza kabisa.
Unaelewa kuwa cheerleader si mfurahishaji ni mshangiliaji?
Kwako wewe kama nani?Vyovyote utakavyotafasiri Ila kwangu Mimi ni mfurahishaji
Comedy master kiraka ni nini?Nimeshakwambia mara kadhaa huko Juu jaribu kupitia comment Mkuu Mimi ni comedy master kiraka nafuatilia show zote za Cheka Plus kwa hio ninachokwambia nakielewa
Aiseeeee mbona umejaa mapovu hivi? Mama yako kuwa lecturer so what? Acha chuki dogo. 😛😜🤪😝Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reputable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye
Kila saa mara ohoo nilipokuwa chuo sijui nini sijui nini,chuo chenyewe TEofili Kisanji TEKU
Hajui kuchekesha,abanimalizia king'amuzi tu.
Ni sahihi si kwa kumchukia mtu asiyemjua na asiye na msaada kwenye maisha yake.Umelewa? Anamalizaje king'amuzi!? Kwamba anakivunja au anakula king'amuzi? Zima king'amuzi chako kisiishe!!! Ndugu na marafiki zako wana wakati mgumu sana maana hawawezi kutoboa ukiwaangalia, kifupi we ni MCHAWI.
Tayari nimeshaupdate hilo hapo juu jaribu kusoma nimekwambia Mimi ni comedy master yaan hao unawaona kwenye majukwaa walimu wao Mimi ndio Mwalimu wao ushaelewa au nirudie tena?Kwako wewe kama nani?
Kwa nini maoni yako wewe yawe ya umuhimu mkubwa?
Wewe una qualifications gani za kukufanya uwe mtaalamu katika kuhukumu nini ni comedy na nini si comedy?
Acha wivu wa kishamba!Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reputable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye
Kila saa mara ohoo nilipokuwa chuo sijui nini sijui nini,chuo chenyewe TEofili Kisanji TEKU
Hajui kuchekesha,abanimalizia king'amuzi tu.