Wewe mchaga ukiacha wizi na ujambazi una kipi cha kujivunia mkuu, siku zote hakuna pesa tamu kama ile uliyoitafuta kwa jasho. Nyie na show off zenu huko vijijini mnaenda kwa jeuri ya utapeli na dhuluma siku zenu zina hesabika.Nakuona MSUKUMA unarudisha hasira za kuuziwa sabuni ubungo badala ya simu.Pole bongo bahati mbaya
Ndugu wajitoe kumsaidia..walemavu..Hawa walemavu hakushuka tu toka mbinguni...wanafamilia zao..Nimesoma comments zote humu. Hazina solution yoyote Kwa walemavu zaid ya ujinga mtupu.
Kilichotokea kimesababishwa na system failure, hatujawahi kuwa na strategy ya kusaidia walemavu kumbuka Makamba vs Matonya struggle.
Naona sentiments tuu semeni what should be done na muwe mbele kufanya. Pumbavu hakuna.
That was a lesser evil kwa hao omba omba period na kina msaada kuliko midomo hii humu.
Mitano tena.
Kwa mwezi ana 9,000,000.Hata Dr Mhimbili hana mshahara huo. Mchaga kakamata fursa. Na hapo ikute anatumia million moja tu kwa mwezi kuwalisha wote. Million labda umeme,maji. Faida million 6 kibindoni. Kwa Bongo mbona kaula kabisa.30 x 10000tsh = 300000tsh kwa siku, Duh kweli mjini mipango
Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?Ndugu wajitoe kumsaidia..walemavu..Hawa walemavu hakushuka tu toka mbinguni...wanafamilia zao..
Watu we makanisa na masikiti na Watu wema wasio Amini Dini...wajitoe kuwasaidie wale ambao familia hazina uwezo.
Lakini familia zikishikamana wanaweza wasaidia watu wao..wasiwaone Kama mikosi na nuksi katika jamii
Ndugu wajitoe kumsaidia..walemavu..Hawa walemavu hakushuka tu toka mbinguni...wanafamilia zao..
Watu we makanisa na masikiti na Watu wema wasio Amini Dini...wajitoe kuwasaidie wale ambao familia hazina uwezo.
Lakini familia zikishikamana wanaweza wasaidia watu wao..wasiwaone Kama mikosi na nuksi katika jamii
Wewe ndio umefikia kikomo cha kufikiri, bunduki inaua, kwetu ukitengeneza ni crime kwa wenzetu ni ubunifu, wewe umengalia upande mmoja na kutoa hukumu, mimi nimengalia pande zote na kutoa maoni kwa upande ambao wengi hawawezi kuuona.Daah JF kila siku inapoteza ubora wake kwa watu kama nyinyi,huoni alichokifanya hakina tofauti na "human trafficking",ambapo kila UN wanalipigia kelele.Eti huu nao unaitwa ubunifu duu.
Kwa hiyo kwako wewe "human trafficking" ni ubunifu.?Wewe ndio umefikia kikomo cha kufikiri, bunduki inaua, kwetu ukitengeneza ni crime kwa wenzetu ni ubunifu, wewe umengalia upande mmoja na kutoa hukumu, mimi nimengalia pande zote na kutoa maoni kwa upande ambao wengi hawawezi kuuona.
Siyo amewapangisha na hiyo ni kod
Tena bila kodi milioni 120 kwa mwaka30 x 10000tsh = 300000tsh kwa siku, Duh kweli mjini mipango
Sijuwi kaishia wapi zembwela?! Ana madini sana yule mkuu..Zembwela long time alikuwa anaongelea ili swala kwamba wale wanaoomba omba ni biashara ya mtu ,yule anayesukuma utamkuta mtu "MBAVU NENE" ambaye anaweza akafanya kazi na kumtunza huyo MLEMAVU lakini iweje awe anamsukuma tu!!
Ulemavu wa viungo sio ulemavu wa akili.Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
Sijuwi kaishia wapi zembwela?! Ana madini sana yule mkuu..
Ndio maana mimi ni mgumu sana kumpa hela omba ombaUjerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
hiyo million moja iliyobaki umeiweka wapi?maana Kama anatumia milioni moja kuwalisha, na million moja nyingine kwa huduma za maji nk. Basi faida ni million 7 badala ya 6. I stand to be correctedKwa mwezi ana 9,000,000.Hata Dr Mhimbili hana mshahara huo. Mchaga kakamata fursa. Na hapo ikute anatumia million moja tu kwa mwezi kuwalisha wote. Million labda umeme,maji. Faida million 6 kibindoni. Kwa Bongo mbona kaula kabisa.
Hakuna siku kiongozi wa nchii amesema Tanzania ni donor country, isipokuwa tumeliwa sana ilitakiwa tuwe donor country.Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
daah tena afadhali vijana, ukikutana na walienda age kidogo ni hatari, kwanza kupenda kujua mambo ya watu, roho mbaya na majungu kwa wengine,Sometimes baadhi ya wachaga walio wengi hawana utu na ni wajinga sana.