Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Watu hawana utu
 
Usiseme ukamaliza ndugu.....

Wachaga ni Watu kama Watu wengine...wana yao mapungufu kama sisi wengine tulivyo na mapungufu

Si vema...kosa la mmoja kukusanya wote

Kuwa makini dogo
Jifunze adabu ya kuongea mbele za Watu
Hakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana
 
Usiseme ukamaliza ndugu.....

Wachaga ni Watu kama Watu wengine...wana yao mapungufu kama sisi wengine tulivyo na mapungufu

Si vema...kosa la mmoja kukusanya wote

Kuwa makini dogo
Jifunze adabu ya kuongea mbele za Watu
Ooh! mjifunze kuwa na utu Boss haiwezekani, tunatambua damu zenu zinanusa pesa ilipo mjitahidi kufanya kazi za halali na Mungu atawafungulia baraka ila sio kwa hili la kuwaanika binadamu wenzenu kwenye jua kama vibambala, haikubaliki
 
Bahati nzuri Chief..Mimi si Mchaga

Labda nikuulize

Tokea ulipozaliwa...tukio kama hili limetokea mara ngapi,ikawa wahusika ni Wachaga....?!!!
Ooh! mjifunze kuwa na utu Boss haiwezekani, tunatambua damu zenu zinanusa pesa ilipo mjitahidi kufanya kazi za halali na Mungu atawafungulia baraka ila sio kwa hili la kuwaanika binadamu wenzenu kwenye jua kama vibambala, haikubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…