Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Huu Muungano ni sawa na muungano wa Mbuzi na Fisi, anaefaidi hapo ni fisi. Huu ni muungano wa ccm ambao unawapa fursa wazanzibari kutawala Tanganyika na kufanya lolote wanalotaka Tanganyika lakini mtanganyika harusiwi kufanya anavyotaka Zanzibar.
 
Zbar ardhi ni issue padogo sana jamani hatutoshi....acja iwe hivyo mileke ukitaka nusu acre weww alone sawa sio acre 100
... ukiwa ndani ya Boeing au Airbus ikitokea upande wa Kaskazini kujiandaa kutua JNIA, Pemba na Unguja zinaonekana end-to-end kama mashamba fulani hivi! Vile visiwa ni vidogo sana!
 
Back
Top Bottom