Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Leseni inatumika vzr tu,nimeishi huko Zenj miaka kibao na ninatumia leseni ya bara
JAMANI HUKU KUNA KITU SIELEWI HIYO NCHI INAYOITWA "BARA" IKO WAPI KTK RAMANI YA DUNIA HII HATA ya ZAMANI. Na wengine tunaungana kuiua Tanganyika.
 
Hivyo ni vyetu tulipewa na Mungu na ipo siku tutavimiliki [emoji817] inshallah
Yes lengo lilikuwa hilo kuipoteza zanzabar lakini imeshindikana miaka hiyo ya kizazi cha hofu kwa tunakoendea hicho kitu hakiwezekani ikiwa sasa 259 inatafutwa hii kitu na mengine yanakuja tuombe uhai na uzima ni vugumu kuja kuuzima moto huo kwa nguvu za dola zinazotegemewa
 
S
Zbar ardhi ni issue padogo sana jamani hatutoshi....acja iwe hivyo mileke ukitaka nusu acre weww alone sawa sio acre 100
Sio kila mtu atataka kujenga Zanzibar, Uhuru uwepo tu kwamba ikitokea mtu akapataka na amepata ardhi basi awe huru , mgawanyo wa KAZI pia uwe huru mbara aweze ajiriwa Zanzibar Kama ilivyo wazanzibar wengi wameajiriwa bara sector tofauti, mikopo ya elim ya juu wazanzibar wanapata bila shida bara
 
Mbona wapemba wana viwanja na

Hakuna hicho kitu zbar nfogo sana urefu posta hadi mlandizi km 75 upana dar hadi maili 1 km 35 tu....unataka ardhi ya hotel kakodi utalipa rent kwa owners hakuna ardhi zbar ukitaka ardhi njoo bara kubwa mno chagua pori endeleza zbar iko kimkakati...kama hutaki acha ila ndio hivyo
 
Tunasema tunapoelekea lazima wabara wamiliki ardhi Zanzibar , hata wazanzibar sio lazima mg'anganie Zanzibar bara bia Kuna maeneo ya kutosha hii ni nchi moja, subilin , tunataka wabara tujenge Zanzibar na wazanzibar jengeni bara ruksa
 
Wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika ila mtanganyika hurusiwi kumiliki ardhi zanzibar hata ya kujenga chumba kimoja tu useme nawe una kwako
Kuna mtanganyika mmoja anahela sana amejengeja gorofa kubwa mji WA chacke chake pemba.
 
Sasa hiyo leseni ya Tanzania uendeshe gari wapi Zanzibar ili hali nchi yenyewe unaweza kuimaliza kwa kutumia baiskeli.

Ndani ya Zanzibar siku mbili zinatosha kuimaliza nchi kwa baiskeli.
 
... kwa hiyo watanganyika wote Zanzibar ni wapangaji? Halafu nyumba zao zilivyo na masharti magumu sijui inakuwaje!

Wanajenga mkuu, ila ni kinyume na sheria. Kuna siku kunaweza kuja kutokea tatizo serekali ikiamua kuchukua hatua
 
Wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika ila mtanganyika hurusiwi kumiliki ardhi zanzibar hata ya kujenga chumba kimoja tu useme nawe una kwako
Wazeenj wanaruhusiwa kutawala bara lakini Wabara hawaruhusiwi kutawala Zeenj. Sasa wao wana rais wa zenj na JMT. Wazwenj wnaweza kuwa mawaziri bara ila mbara hawezi kuwa waziri zeenjeee

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom