Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Zanzibar huwezi pata leseni kienyeji,huko bara leseni zinapatikana kariakoo kama njugu ni wewe na hela yako tu,nikihongezeya mambo ya passport ,Tanganyika pasi unaletewa nyumbani huna haja ya kuhangaika ni kama unaenda kuokota makopo jalalani,Zanzibar tunahitaji passport za aina yetu,tupate more space tupumue kwa maana tutaweza kupanga mikakati na kuruhusiwa kuingia nchi za huba na zinginezo bila ya viza yaani unapata viza pale uwanja wa ndege bila ya mizengwe na hutoonekana unatokea nchi ya vibaka.
 
Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga ?
Leseni haitumiki vipi zanzibar, mbona tunatumia Leseni za Tanzania kwenye nchi nyingine kama Kenya, Zambia, Congo, Burundi, Rwanda, n.k. Au sijaelewa mimi
 
Ningekuwa mimi nyerere ningeiconquer zanzibar ikawa mkoa tuu Yan yani tumeenda kukomboa visiwa vya Comoros [emoji1076] tukasahau kukomboa visiwa vyetu kwa waarabu masalia wenda tunavyoongea now chalamila angekuwa mkuu wa mkoa wa zanzibar
 
Vyenu wewe na nani soma historia ya zanzibar kisha njoo na porojo zako za kwenye mabaa huyo nyerere alikuwa ana hofu na zenji akabaki kula na kupuliza seuze wewe kajamba nani
 
znz na tanganyika ni nchi moja cha ajabu ukinunua gari kuleta huku unapigwa ushuru kama umetoa gari japan... hili linakera. nilinunua gari 8ml kuja huku nikapigwa ushuru wa 3.5m.
 
Kwanza waznz wengi hawautaki Muungano
 
Vyenu wewe na nani soma historia ya zanzibar kisha njoo na porojo zako za kwenye mabaa huyo nyerere alikuwa ana hofu na zenji akabaki kula na kupuliza seuze wewe kajamba nani
Hivyo ni vyetu tulipewa na Mungu na ipo siku tutavimiliki [emoji817] inshallah
 
znz na tanganyika ni nchi moja cha ajabu ukinunua gari kuleta huku unapigwa ushuru kama umetoa gari japan... hili linakera. nilinunua gari 8ml kuja huku nikapigwa ushuru wa 3.5m.
Bola hilo la gali ,usiombe kutoka Ntwala na gunia la nkaa unakuja nalo Dar ,maji utayaita mee ,maana Zanzibar unalipa ushuru ,ila hizi za gunia la mkaa hata sijui tuite ushuru au tozo...sasa dar na Ntwala ni nchi tofauti na sio kutokea kalibu hata maembe kwenye mipaka ya nchi hizi ,wao wanaita mageti inabidi ulipie au uwaachie . Kuna haja kila Mkoa ukawa na Raisi wake kama Zanzibar.
 
Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Alafu Sasa utasikia wakilalamika sie bara kimia, muungano hawezi vujika ila lazima Mambo madogo yafanyiwe KAZI ,muungano uwe fair pande zote
 
Back
Top Bottom