Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

Sasa hiyo leseni ya Tanzania uendeshe gari wapi Zanzibar ili hali nchi yenyewe unaweza kuimaliza kwa kutumia baiskeli.

Ndani ya Zanzibar siku mbili zinatosha kuimaliza nchi kwa baiskeli.
Dah JF kiboko
 
Wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika ila mtanganyika hurusiwi kumiliki ardhi zanzibar hata ya kujenga chumba kimoja tu useme nawe una kwako
Usidanganye umma, Kijijini kwetu kulikiwa na Mzee maarufu akiitwa Meli ya Pemba jina lake halisi Mkoyi Masele huyu mzee alikuwa anamiliki mashamba ya mikarafuu, huyu mzee kwao ni Shinyanga na alikuwa na mke na watoto huko kwao, mwanawe mmoja anaitwa Jeremiah alikuwa anakuja sana kumtembelea baba yake. Anapokuja lazima atuletee kipolo cha karanga kama zawadi. Tulishi na mzee Meli Ya Pemba vizuri sana tu, mpaka mwisho wa maisha yake.
Wako wengi sana tu. Kuna na mzee mwengine alikuwa anaitwa Saidi maarufu Msukumwere alikuwa na mashamba anayamiliki , wako wengi tu.
 
Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Ni kweli leseni ya udereva ya JMT hawataki itumike lakini ukikomaa hawakupeleki popote, Mimi nimeshakomaa nao Sana.
Ila cha kufanya ili wasikusumbue Sana siku ukienda kurenew leseni ya Jamhuri anuani ya makazi weka znz, Ila leseni ibaki jamhuri
 
Usidanganye umma, Kijijini kwetu kulikiwa na Mzee maarufu akiitwa Meli ya Pemba jina lake halisi Mkoyi Masele huyu mzee alikuwa anamiliki mashamba ya mikarafuu, huyu mzee kwao ni Shinyanga na alikuwa na mke na watoto huko kwao, mwanawe mmoja anaitwa Jeremiah alikuwa anakuja sana kumtembelea baba yake. Anapokuja lazima atuletee kipolo cha karanga kama zawadi. Tulishi na mzee Meli Ya Pemba vizuri sana tu, mpaka mwisho wa maisha yake.
Wako wengi sana tu. Kuna na mzee mwengine alikuwa anaitwa Saidi maarufu Msukumwere alikuwa na mashamba anayamiliki , wako wengi tu.
Marehemu Babu huyo!
 
S

Sio kila mtu atataka kujenga Zanzibar, Uhuru uwepo tu kwamba ikitokea mtu akapataka na amepata ardhi basi awe huru , mgawanyo wa KAZI pia uwe huru mbara aweze ajiriwa Zanzibar Kama ilivyo wazanzibar wengi wameajiriwa bara sector tofauti, mikopo ya elim ya juu wazanzibar wanapata bila shida bara

Kuna kitu unashindwa kufahamu mkuu, mbona wabara wapo huru kwenye suala la ajira Zanzibar ukitoa ajira za serekali?
Na unapozungumza kuhusu wazanzibar kupata baadhi ya facilities bara wakati wabara hawapati Zanzibar ni kwa sababu Hakuna Kitu bara kwenye muundo wetu wa serekali. Kuna serekali ya Zanzibar ambayo ni ya wazanzibari na sereekali ya Tanzania ambayo ni ya watanzania. Wazanzibar pia ni watanzania. Kwahiyo ili kumaliza haya matatizo panatakiwa kuibuliwa Tanganyika na itengeze serekali yake ili kumaliza kero nyingi. Ila Serekali ya CCM wamekua wabishi sana.
 
Unafeli wapi mkuu? Ingia Google andika driving licence zanzibar, zitakuja image, zinatumika bara ila za bara hazitumiki znz
Mkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fix
 
Mkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fix
Fix tena? Yaani nimeishika kabisa halafu unasema fix? Ok nafanya fix basi maana hata huu uzi ni fix
 
Mkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fix
We fala hiyo hapo sasa jitu vivu kama mbupu
lala2.jpg
 
Ile ni serekali ya muungano mzanzibar anaweza kuwa rais maana ni ya wote kama tanganyika itakuwa na serekali yake sifikirii kama mzenji ataweza kuongoza
Ila huyo Rais wa JMT afanye afanyavyo hawezi kumteua au kumtumbua mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi ila Mkuu wa mkoa wa Kigoma anaweza! Hii haiko sawa.

Huu muungano ulikuwa ni mawazo ya watu waliozaliwa na mwanamke, waliokua na mazuri yao, mabaya yao na mapungufu yao pia na siku ilipofika walikufa, so hawakua miungu, hivyo kuna haja ya kuufumua wote na kuunda muungano ambao utakua fair kwa pande zote mbili na sio ku-deal na hizi zinazoitwa kero wakati chimbuko la hizo kero ni muundo wa muungano wenyewe.
 
Mzanzibari anakuwa raisi wa JMT Mtanganyika hawi raisi wa Zanzibar
Inaumaaah sana, halafu wao bado wanaona sisi ndiyo tunafaidika, are they serious??
Ukiwa bara wala hujui waweza kubaguliwa, ila ukienda Zenj, wana ubaguzi. Na wakija huku mwanzoni hunting SANA.

Nakumbuka UD. Walikuwa na uchoyo sana wa madesa, uchoyo wa kitoto 😂 , wabara tulikuwa vya pombe asubuhi paper na tunawaacha mbali pamoja na uchoyo wao, sijui kama siku hizi ni tofauti.

Nilienda kisiwa kimoja UZI kuzuri balaah, propaganda za kupata hata robo eka tu,

Everyday is Saturday................................😎
 
Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Maneno haya ni kweli lakini? Kama ni kweli huu ni upumbavu wa hali ya juu. Naruhusuwa kutumia leseni ya udereva South Africa, Kenya, Uganda, Zambia, Botswana, Namibia nk, halafu siruhusiwi kuitumia Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania? Kama ni hivyo acha muungano ufe.
 
Acha hasira Auncle vinazungumzika tu hatujashindwana
 
Mswahili anayeshikiliwa akili atayajulia wapi haya ?
Teh huu muungano nao ni kama fumbo tu, nyerere na karume ndio wanajua ukweli wake sie wengine tumekuja kuudandia tu jumlisha na kukaririshwa darasani sijui security factors sijui same historical backgrounds basi imeisha hiyo
 
Bola hilo la gali ,usiombe kutoka Ntwala na gunia la nkaa unakuja nalo Dar ,maji utayaita mee ,maana Zanzibar unalipa ushuru ,ila hizi za gunia la mkaa hata sijui tuite ushuru au tozo...sasa dar na Ntwala ni nchi tofauti na sio kutokea kalibu hata maembe kwenye mipaka ya nchi hizi ,wao wanaita mageti inabidi ulipie au uwaachie . Kuna haja kila Mkoa ukawa na Raisi wake kama Zanzibar.
Punguza mihemko kalale
 
Back
Top Bottom