Jamani kuna point moja lazima tuitafakari.Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Ukisema tanzania inamaani nini.
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Wazanzibari wote ni watanzania. Jumuiya zote zinazo chukuwa jina la Tanzania zapaswa kuwa hudumiya wa tanzania wote ikiwemo wa zanzibari.
Watanzania wote wanao fanya kazi katika jumuiya au Tasisi hizo wawe wa tanzania kutoka kokote na katika pandezote za Tanzania ikiwemo Zanzibar.
Viongozi wa jumuiya hizo au Tassisi wawe ni watanzania ikiwemo wa zanzibari.
Pia mtambue kuwa si watanzania wote ni wazanzibari kwa hivyo Taasisi za kizanzibari au jumuiya za kizanzibari au ofisi za serikali ya Zanzibar sio lazime kuwemo mtanzania yeyote, anayehusika ni Mtanzania mzanzibari tuu. lakini kitu chochota kile kinachochukuwa jina la Tanzania ujuwe wazanzibari wanapaswa kuwemo.
Basi kama haya hayakubaliki Mungano huu wasasa ubadilishwe urekebishwe.
Serikali tatu ndio suluhisho kama walivyo zilivyo sema Tume na kamati ya katiba