Dah JF kibokoSasa hiyo leseni ya Tanzania uendeshe gari wapi Zanzibar ili hali nchi yenyewe unaweza kuimaliza kwa kutumia baiskeli.
Ndani ya Zanzibar siku mbili zinatosha kuimaliza nchi kwa baiskeli.
Unafeli wapi mkuu? Ingia Google andika driving licence zanzibar, zitakuja image, zinatumika bara ila za bara hazitumiki znzNiwekee sample hapa mkuu.
Usidanganye umma, Kijijini kwetu kulikiwa na Mzee maarufu akiitwa Meli ya Pemba jina lake halisi Mkoyi Masele huyu mzee alikuwa anamiliki mashamba ya mikarafuu, huyu mzee kwao ni Shinyanga na alikuwa na mke na watoto huko kwao, mwanawe mmoja anaitwa Jeremiah alikuwa anakuja sana kumtembelea baba yake. Anapokuja lazima atuletee kipolo cha karanga kama zawadi. Tulishi na mzee Meli Ya Pemba vizuri sana tu, mpaka mwisho wa maisha yake.Wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika ila mtanganyika hurusiwi kumiliki ardhi zanzibar hata ya kujenga chumba kimoja tu useme nawe una kwako
Ni kweli leseni ya udereva ya JMT hawataki itumike lakini ukikomaa hawakupeleki popote, Mimi nimeshakomaa nao Sana.Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Marehemu Babu huyo!Usidanganye umma, Kijijini kwetu kulikiwa na Mzee maarufu akiitwa Meli ya Pemba jina lake halisi Mkoyi Masele huyu mzee alikuwa anamiliki mashamba ya mikarafuu, huyu mzee kwao ni Shinyanga na alikuwa na mke na watoto huko kwao, mwanawe mmoja anaitwa Jeremiah alikuwa anakuja sana kumtembelea baba yake. Anapokuja lazima atuletee kipolo cha karanga kama zawadi. Tulishi na mzee Meli Ya Pemba vizuri sana tu, mpaka mwisho wa maisha yake.
Wako wengi sana tu. Kuna na mzee mwengine alikuwa anaitwa Saidi maarufu Msukumwere alikuwa na mashamba anayamiliki , wako wengi tu.
S
Sio kila mtu atataka kujenga Zanzibar, Uhuru uwepo tu kwamba ikitokea mtu akapataka na amepata ardhi basi awe huru , mgawanyo wa KAZI pia uwe huru mbara aweze ajiriwa Zanzibar Kama ilivyo wazanzibar wengi wameajiriwa bara sector tofauti, mikopo ya elim ya juu wazanzibar wanapata bila shida bara
Mkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fixUnafeli wapi mkuu? Ingia Google andika driving licence zanzibar, zitakuja image, zinatumika bara ila za bara hazitumiki znz
Fix tena? Yaani nimeishika kabisa halafu unasema fix? Ok nafanya fix basi maana hata huu uzi ni fixMkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fix
We fala hiyo hapo sasa jitu vivu kama mbupuMkuu weka wewe hiyo leseni ya ZANZIBAR ambayo ni kwa ajili ya wazanzibar tu. Acha fix
Ila huyo Rais wa JMT afanye afanyavyo hawezi kumteua au kumtumbua mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi ila Mkuu wa mkoa wa Kigoma anaweza! Hii haiko sawa.Ile ni serekali ya muungano mzanzibar anaweza kuwa rais maana ni ya wote kama tanganyika itakuwa na serekali yake sifikirii kama mzenji ataweza kuongoza
Mzanzibari anakuwa raisi wa JMT Mtanganyika hawi raisi wa ZanzibarHaiwezekani je ya Zanzibar yaweza kutumika bara??
Maajabu haya! Au magari yao ni left hand!
Everyday is Saturday............................... 😎
Inaumaaah sana, halafu wao bado wanaona sisi ndiyo tunafaidika, are they serious??Mzanzibari anakuwa raisi wa JMT Mtanganyika hawi raisi wa Zanzibar
Maneno haya ni kweli lakini? Kama ni kweli huu ni upumbavu wa hali ya juu. Naruhusuwa kutumia leseni ya udereva South Africa, Kenya, Uganda, Zambia, Botswana, Namibia nk, halafu siruhusiwi kuitumia Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania? Kama ni hivyo acha muungano ufe.Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
Acha hasira Auncle vinazungumzika tu hatujashindwanaManeno haya ni kweli lakini? Kama ni kweli huu ni upumbavu wa hali ya juu. Naruhusuwa kutumia leseni ya udereva South Africa, Kenya, Uganda, Zambia, Botswana, Namibia nk, halafu siruhusiwi kuitumia Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania? Kama ni hivyo acha muungano ufe.
Mzee Ali Hassan Mwinyi na marehemu mzee Aboud Jumbe wao ni nani sio Watanganyika?Mzanzibari anakuwa raisi wa JMT Mtanganyika hawi raisi wa Zanzibar
Mswahili anayeshikiliwa akili atayajulia wapi haya ?Msisahau katika huu muungano kuna "Union matters" and "non union matters"
Ali Hassan Mwinyi mzaliwa Wa Kisiju Mkoani Pwani hapa Tanganyika alikuwa rais wa ZanzibarMzanzibari anaweza kuwa raisi bara ila mbara hawezi kuwa raisi zanzibar
Teh huu muungano nao ni kama fumbo tu, nyerere na karume ndio wanajua ukweli wake sie wengine tumekuja kuudandia tu jumlisha na kukaririshwa darasani sijui security factors sijui same historical backgrounds basi imeisha hiyoMswahili anayeshikiliwa akili atayajulia wapi haya ?
Punguza mihemko kalaleBola hilo la gali ,usiombe kutoka Ntwala na gunia la nkaa unakuja nalo Dar ,maji utayaita mee ,maana Zanzibar unalipa ushuru ,ila hizi za gunia la mkaa hata sijui tuite ushuru au tozo...sasa dar na Ntwala ni nchi tofauti na sio kutokea kalibu hata maembe kwenye mipaka ya nchi hizi ,wao wanaita mageti inabidi ulipie au uwaachie . Kuna haja kila Mkoa ukawa na Raisi wake kama Zanzibar.