Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

Huyu jamaa hapa anafanya haya uliyoshauri hapa. Wala huyu siye Nonda.

.... vurugu hizo siyo za kidini kama wanavyodhani watu wengi bali ni njia iliyotumika kufikisha ujumbe wa walalamikaji.
.... Si suala la kidini, ni hoja za kujishikiza tu, kuna masuala ya msingi yanayovishwa hoja za kidini."

Link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...alitarajia-kurudi-zanzibar-4.html#post4006894

Mengine mengi ambayo umeyagusia katika mchango wako yana wenyewe.Unajaribu kuniingiza kundini. Ni jamaa zako.
Tafakari hayo maneno aliyosema huyo jamaa yetu.
Mkuu wala sintofanya hivyo isipokuwa kwa maandishi nayoyasoma hapa. Siwezi kukuingiza kundini wakati mimi na wewe tupo pamoja ktk hili isipokuwa tofauti zetu ni ktk kuafikiana nani mbaya wa Wazanzibar.

Unajua kina Mwanakijiji ni watu wanaosoma maansiko vile vile wanatazama maandamano kama haya yanayobeba bendera zenye aya za kuran na Utaifa wa Zanzibar wakati wanashindwa kuelewa kwamba aliyewauza Wazanzibar ni hao hao wanaoongoza Zanzibar lakini lawama zote zinamfuata Nyerere kwa sababu ni mkristu kama alivyosema Nguruvi3. Na hakika hata wewe akishambuliwa JK kwa sababu ya Uislaam wake wakitumia parapanda sidhani kama utakaa kimya maana vita sasa imegeuka kuwa ya UDINI..

Siku zote napinga Udini na sioni nafasi ya Uislaam ktk unafiki huu maana ukweli unabakia kwamba sisi tumeunda UNION wala sii COMUNITY kwa mfano wa EAC na wala sii FEDERATION kwa maana ya kutambua sovereignty ya nchi husika chini ya Umoja wa kitaifa ambao unaua Identity ya nchi nje kama zilivyo States za Marekani. Tumeunda kitu kinaitwa UNION na uzito wake ni sawa na yamin ya Undugu kama kitu kimoja na hivyo kutengenishwa kwetu sii swala la mzaha hata kidogo. Hao waasisi wa muungano huu wameivunja Tanganyika na kuiacha Zanzibar ktk mfumo wa kipekee kiutawala ambao pengine umefuata WATU na MAZINGIRA yetu ambayo sii sawa na ya Uingereza wala marekani, au umejengwa kulindana au vyovyote vile, hivyo kama kuna matatizo basi haya yaorodheshwe na kutazamwa kwa undani wake maana hakua kati yetu anayejua kwa uhakika sababu na malengo ya muungano ule zaidi ya maandalizi ya Uhuru wa nchi za kiafrika.

Lakini hizi habari za kuilalamikia Bara na hasa Wakristu ilihali sisi hatuwezi kuondokana na historia ya nchi na dini zetu ambazo zote zimekuja kwa watu wasioabudu na zikaweza kushamiriu na kufuatwa leo kweli sisi Waislaam tunaacha Sunna kubwa ya mtume ktk kuitangaza dini kwa amani tunaanza kutafuta kujitenga?.. Ebu nambie kama Mtume aliweza kumwingia mtu kama Sayyidina Omar (RA) na akaweza kumshawiushi kuingia uislaam wewe leo unashindwa nini kuutangza Uislaam isipokuwa kutafuta vita ya kujitenga na hawa wakristu wakati ushenzi wote unafanyika Zanzibar ya leo.

Ni haya ndio yanayopelekea mimi hata kupinga Mahakama ya kadhi ambayo inataka tu sheria ktk mambo madogo lakini yale yanayowaondoa watu ktk Uislaam kama Ushoga, Zinaa, Kamari, riba ktk Mabenki, madawa ya kulevya, Ufisadi ktk mikopo na mengine mengi machafu yanakubalika tena mbele ya macho yao na hakuna hata Sheikh mmoja kasimama na kusema lazima tuiboreshe sheria kwanza kufuata Uislaam kabla ya kuwahukumu watu. Na hawa wenyewe ndiio wahsiriki wakubwa wa mabaya haya wakijificha nyuma ya pasia la dini kama kinga..Kama haiwezekani kuziweka sheria za kiislaam ipaswapo basi tumwachie Mungu maaana siku ya hukumu kila mmoja wetu atawajibika yeye kwa makosa yake na sii kuchagua ibada ambazo zina tu suite kwa sababu tunatafuta ULAJI..

Mwisho mkuu wangu ebu rudi tazama hiyo picha hapo juu!...Maskini hawa watu hawafahamu wanachotetea isipokuwa Uislaam wakati laani ipo ndani ya viongozi wao wenyewe. Nimesema sana na nitarudia mara 100 kidogo, kama kweli Baraza la Mapinduzi hawautaki Muungano wao wachukue dhamana ya wananchi kusimama kidete na kutaka kujitoa ktk Muungano huu wasizungumzie pembeni maanake hata Maalim Seif Hamad siku ya kuapishwa kwake alisema wazi kuunga mkono umoja wa Kitaifa na huwezi kuitenganisha CCM na bara.

Kifupi, kwa mtazamo wangu Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ni sawa kabisa na muafaka baina ya CUF na CCM kwa maana kwamba umoja huu umeundwa kwa malengo ya kiutawala zaidi kuliko maswali yanayohusiana na kuwepo kwa muungano huu - The end justify the means!
 
Nonda, sasa unazidi kunitatiza na kunifanya nisielewe stand yako. Sisi tunatofautiana na uamsho, lakini na wee unatofatiana zaidi na uamsho. Wanajf wameshaeleza humu kuwa kufanya vurugu kwa uamsho au kuhusiwa kwao katika kuchoma makanisa au kupendikiza chuki haina maana kwamba Sheikh Farid alibeba Dumu lake la petrol na kibiriti mkononi, la hasha, walitengeneza mazingira ya kufanya hivyo; hii hawatoki, ndo maana Vuai alisema hivi:
"Chukua CD za mihadhara ya Uamsho; chukua CD za hiyo mikutano mitano ya CCM; halafu ziweke hadharani watu waone na kusikiliza. Waache waamue ni nani aliyechochea vurugu,” ameeleza Vuai kwa sauti ya upole.

Sasa haya aliyosema Vuai na hapo nilipoeka bluu juu, nakushauri angalia video hii then urudi utuambie umeona nini, : WAZANZIBARI WAKIONESHA HISIA ZAO -KONGAMANO KIDUTANI 4 - YouTube

Kam haina direct link, just copy it and paste on a new opened tab!

Mkuu Zinadine

Vuai amesema pia kwa upole hili ,amesema wana imani kuwa “Uamsho ni wing ya CUF. Si unajua sisi CCM tuna wing ya vijana? katika hiyo link uliyokopi kuhusu kuchukua CD.

Lakini pia kuna uchambuzi wa kina katika link hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...rini-kuvunjika-wakati-wowote.html#post4028168 huku pia hukuweza kuunganisha dots kuona kuwa Chai Chapati Maharage wanacheza "rafu" zao?

Wajanja wanaua ndege wawili kwa jiwe moja.

Umeniambia unazijua vyema siasa za TZ au uliniongopea?

Unachokiona wewe mimi sikioni mkuu. Natazama beyond rhetoric. Pia napitia matokea ya nyuma katika siasa za Tz na weledi wa CCM katika kushughulikia wadadisi.

Mwalimu alilia/ alitokwa na machozi alipopata habari za ajali na kifo cha Sokoine.
Mkapa alisema alikosa usingizi kwa matukio yaliyotokea Pemba.

Sefu Sharif na kundi lake walisekwa ndani na kupata mashtaka ya kupanga kuipindua serikali.

CHADEMA wanapingwa kesi kila leo za uchochezi wa fujo na uvunjifu wa amani.

Sifikiri kuwa nahitaji hata kutizama mkanda wa video kujua nani ana mkono katika uchomaji wa makanisa na kwa sababu gani anafanya hivyo.

Pitia michango yangu ya mwanzo, nimeweka wazi kile ninachokiamini.

Kama unafikiri sikioni kile ambacho unakiona wewe katika hizo CD,ndugu Zinadine, tufike mahala tukubaliane kutokukubaliana.



 
Muungano huu despite my strong desire to keep it going, naona umeingiliwa na maharamia na wahuni. In the end if it does not work then it doesn't work. Kwenye blog ya www.vavavuum.com kama wewe ni mtanganyika, mzanzibar au mtanzania, unaweza kurusha habari, picha, au kutoa maoni. Username ni mdau na password VVJ2w01vtzrd. Karibu
 
Mzee mwinyi na mtu yoyote mwenye akili timamu na miongoni mwa manguli wote waliolaani UAMSHO yumo Sheni.
Kwani hoja ipi haijajibiwa nikumbushe nikujibu, badala yake zangu hazijibiwi.
Moja ni hii, Tanganyika ina poteza nini Zba ikiondoka
Pili, Nini kinawazuia wazanzibar wasiondoke katika muungano
..............

Mzee Mwinyi anataka mtoto wake awe rais ama wa Zanzibar au wa Tanzania. Ataachaje kupiga debe?
Dr. Shein amefadhiliwa urais na Chama Chake na Tume ya Uchaguzi ataachaje kulipa fadhila?

Moja...Tanganyika itapoteza jina Tanzania na hivyo itabidi kutumia jina Bara kwa vile hili jina Tanganyika halipendwi na wengi wetu, watanzania bara/ wabara.

Pili, Ninavyoelewa usalama wa Taifa na jeshi la wananchi liko chini ya serikali ya Muungano. Kiongozi wa serikali ya Muungano(rais) amesema suala kuwepo au kutokuwepo kwa Muungano ni off-limit. Kuna kambi ngapi za kijeshi huko Zanzibar? Naweza kusema ni woga wa kukumbana na risasi kama zile walizozawadiwa CUF na serikali ya Mkapa mwaka 2001.

Nyongeza hii hapa link https://www.jamiiforums.com/great-t...ni-na-kwa-manufaa-ya-nani-22.html#post1906050
 
Mie naomba kwa kila mwanajamii hapa kupiga kura ya maoni ili tujue kama tunautaka muungano au la
Simply andika Go Zanzibar Go! au Please dont go Zanzibar. matokeo yatajihesabu yenyewe hapa hapa, Halafu ndio tutajua nani anautaka muungano.
 
Ya wazanzibar wenye asili ya mwarabu au watu weusi kama watanganyika? We unaonaje?

Kila Mtanganyika macho yamewatoka kuona Wazanzibar hawawataki, jee kwani kabla ya Muungano mulikuwa munaishi vipi?
 
Kama mumemsoma Baru baru na wazbar wengine hapa jamvini, mara zote hawasimamii Zbar kujiondoa.
Wanachotaka ni Tanganyika nayo idai kuwa muungano si mzuri ili ijengwe hoja kuwa kuna malalamiko pande zote kwahiyo tukae pamoja na kuangalia nini tufanye.

..................
Utapata wapi utulivu ukiwa na kelele hizi za kila siku. Vipi kama utasema LET ZANZIBAR GO! Ili ukweli ukuache huru

Na hawa ndio Baru baru wa Tangayika.

MUUNGANO

Kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Askofu Mtega aliwataka Watanzania kutunza tunu hiyo waliyopewa na Mwenyenzi Mungu huku akihoji yalipotokea mawazo potofu ya baadhi ya Watanzania wanaotaka uvunjwe.

“Wanaotaka tubomoe palipo na umoja wetu wana lao, hawataki kutunza tunu waliyopewa na Mwenyenzi Mungu kwa hiyo mimi nafikiri wanaotaka tutengane tuwapige vita na wala tusiwaonee hayo,” alisema na kuhoji: “Hivi haya mawazo ya kuvunja Muungano yanatoka wapi?”

Katika kongamano hilo lililohuduriwa maelfu ya waumini, maaskofu wapatao 21 kutoka mikoa mbalimbali nchini, viongozi wa serikali, vyombo vya dola na viongozi wa vyama vya siasa walishiriki maandamano makubwa kutoka kanisa la Consolatha hadi makao makuu ya Kanisa Katoliki Jimbo la Iringa, Kihesa.

link https://www.jamiiforums.com/habari-...adharisha-na-alqaeda-alshabab-boko-haram.html
 
Na hawa ndio Baru baru wa Tangayika.

MUUNGANO

Kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Askofu Mtega aliwataka Watanzania kutunza tunu hiyo waliyopewa na Mwenyenzi Mungu huku akihoji yalipotokea mawazo potofu ya baadhi ya Watanzania wanaotaka uvunjwe.

"Wanaotaka tubomoe palipo na umoja wetu wana lao, hawataki kutunza tunu waliyopewa na Mwenyenzi Mungu kwa hiyo mimi nafikiri wanaotaka tutengane tuwapige vita na wala tusiwaonee hayo," alisema na kuhoji: "Hivi haya mawazo ya kuvunja Muungano yanatoka wapi?"

Katika kongamano hilo lililohuduriwa maelfu ya waumini, maaskofu wapatao 21 kutoka mikoa mbalimbali nchini, viongozi wa serikali, vyombo vya dola na viongozi wa vyama vya siasa walishiriki maandamano makubwa kutoka kanisa la Consolatha hadi makao makuu ya Kanisa Katoliki Jimbo la Iringa, Kihesa.

link https://www.jamiiforums.com/habari-...adharisha-na-alqaeda-alshabab-boko-haram.html

KANISA NDIO LILIWEKA MUUNGANO CHINI YA NYERERE UNATEGEMEA WATASEMA NINI???

Imani Petro Mbinu za makafiri 5 13 - YouTube
 
Hakuna mwiko wa kupinga muungano bara.....
Juu ya hayo, la muhimu sana ni kuwa hatupati chochote zaidi ya kupoteza.
Tunapinga muungano kwa hoja tu si vurugu. Tunatoa sababu za kwanini tumechoka

1. Hatuwezi kukubali ushirika wa chako ni chetu, changu ni changu
2. Tumechoka kubeba mbeleko huku waliobebwa wakicheza msewe
3. Hatuna sababu ya kuvumilia matusi kwa gharama za hisani.
4. Hatuna sababu ya kuungana na wenye chuki dhidi ya maumbile, wajihi au imani zetu.

Katika kupinga tunasema hivi
1. Wazanzbar waachwe waamue hatima ya taifa lao, ubora wao wa kibinadamu na kiimani
2. HatutakI serikali 3 kwasababu
a} Zanzibar haina cha kuchangia zaidi ya kutubebesha mzigo

3. Hatutaki mkataba kwasababu
- Hakuna jambo lolote la mkataba litakaloifidisha bara. Mkataba ni njia ya kuhalalisha changu changu,chako ni chetu

4. Hatutaki uhusiano mwingine zaidi ya ule wa kimataifa. Tukutane FIFA, EAC, WBA, SADC, COMESA

Tunawaeleza Watanganyika, wanajisikiaje kulipa kodi ili iwaendeleze watu wasiotupenda?
Tunauliza hivi ni kwanini Mtanganyika wa Kidatu na mtera alipe bei ya juu ya umeme kwa mzanzibar asiyejua bill ni nini
Tunawauliza, hivi kwanini Mbara alipe kodi kwa mishahara ya mzanzibar
Kwanini Mbara abebe mzigo wa kutunza viongozi wastaafu wa SMZ
......
Kwani tatizo ni nini kama tukiwaacha waende zao ili nasi tupumue na matatizo yetu?
Kwanini tusiseme LET ZBAR GO
-
Kuhusu gharama za shughuli za Muungano.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-12.html#post3071074

Hivi hakuna "invisible" yeyote aliyeweza kuipata hii doc iliyotajwa katika uzi huu?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-12.html#post3071438

https://www.jamiiforums.com/habari-...akilishi-kimataifa-ubalozi-2.html#post3211832

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-10.html#post3070223


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-10.html#post3070242
 
KANISA NDIO LILIWEKA MUUNGANO CHINI YA NYERERE UNATEGEMEA WATASEMA NINI?
Huyu ni mmoja wa wafuasi wa UAMSHO ambao wanakataa kuchoma moto makanisa. Kwa mawazo haya mtu kama huyu ukimkabidhi kibiriti na gudulia la petroli unategemea nini? Kwanini kuna watu bado wanawasi wasi wa ushiriki wa UAMSHO katika kuchoma na kuharibu mali za Machogo Zanzibar
[Nonda;4037634]Mzee Mwinyi anataka mtoto wake awe rais ama wa Zanzibar au wa Tanzania. Ataachaje kupiga debe?Dr. Shein amefadhiliwa urais na Chama Chake na Tume ya Uchaguzi ataachaje kulipa fadhila?
Moja...Tanganyika itapoteza jina Tanzania na hivyo itabidi kutumia jina Bara kwa vile hili jina Tanganyika halipendwi na wengi wetu, watanzania bara/ wabara.
Pili, Ninavyoelewa usalama wa Taifa na jeshi la wananchi liko chini ya serikali ya Muungano. Kuna kambi ngapi za kijeshi huko Zanzibar?
Ahaa! ahlan Nonda, sasa nikuulize je, Mwinyi na Sheni ni wasaliti au ni makafir maana wanatetea hoja za makafir Watanganyika kwa ubani wa wao!
Hebu tufafanulie maana wengine tumeshawaona makafir kwa tafsiri ya Wazanzibar

Jina halijawa tatizo, Tunaweza kuitwa Tanganyika, Azania, Tanzania, Machogo-country name any.
Hatudhani kuwa tatizo lililopo ni jina, tunaamini kuwa
1. Tatizo lililopo ni uchoyo na ubinafsi wa Wazanzibar kwamba hata wakipewa hawaridhiki
2. Tunadhani ni muhimu Zanzibar ikawa na dola yake iwe ya wananchi au ya kisultani ili tupunzike na kelele
3. Tunaamini kuwa Zanzibar wanaweza kuwa boko haram na kusambaza sumu nchini. Tumeshakuwa na Ghailan gaidi wa kimataifa kutoka Zanzibar, hatuelewi wangapi walifuzu na wangapi walikatiza masomo.

4. Tunadhani kuwa ni wakati muafaka tutumie rasilimali zetu
a) Kuelekeza pesa na rasilimali zetu kuwasaidia wananchi wetu
i) Gharama za kumuendeleza mzanzibar elimu ya juu sasa zitumike kwa watoto wetu
ii)Kulipa mishahara 'waumini bora' si jambo jema hasa ukizangitia pesa ni kodi za makafir
iii)Tuwape vijana wetu waliokosa ajira nafasi zao zilizochukuliwa na Wazanzibar
iv) Wazanzibar waje na kuwekeza kama Waingereza, makaburu na Wakenya
v) Tuzibe mianya ya kodi kwa bidhaa zinazopita Zanzibar ili TRA ikusanye kodi kwa dollar za kizanzibar

b) Tusiwaumize raia wetu kwa hisani zenye udhia, dharau na kejeli
i) Kuwapandishia bei za umeme ili kufidia umeme wa bure wanaopata wazanzibar wakiwemo UAMSHO
ii) Kuwanyima vijana ajira na kuwafanya wazunguke na CV kila uchao huku nafasi hizo zikichukuliwa na Wazanzibar
iii) Kulinyima taifa fursa kwa kutoendeleza maeneo ya kibiashara eti kupunguza ushidani na Zbar hasa bandari na utalii
iv)kutumia kodi za wananchi wetu kuwalea wastaafu wa Zanzibar na familia zao badala ya kuwapa elimu watu wetu n.k.
v)Kutumia kodi zetu kulipa wabunge wasioamini kuwa sisi ni miongoni mwao na wanaotuita makafir

Tuanzie wapi
1. Kuwaeleza wananchi wetu kuwa uvumilivu na hisani kwa ujira wa dharau, matusi na hata ukafir sasa zimetosha
2. Tuipende Tanganyika, au nchi ya machogo au bara kama wanavyoipenda Zanzibar wezetu
3. Mahusiano yetu ni changu changu chako changu sasa yafike mwisho
4. Kwamba tunapoteza zaidi ya kufadika na muungano. Tumechanga sh 10 mwenzetu ametoa 0, lakini wana hisa 5

Utaratibu upi twende nao
1. Kuwataka waitake dola yao kwa vile wana uwezo
2. Tuendeleze kampeni ya LET ZANZIBAR GO
3. Elimu ya uraia kwa wananchi wajitambue na watambue ubaguzi na hatari inayotuzunguka
4. Tuwaondoe wazanzibar kwa njia za kisayansi ikiwa ni pamoja na kuwazuia kufaidika na fursa zozote bara

Tuwakataze wananchi kukubali haya
1. Serikali 3 maana Zbar haimudu umeme haiwezi kumudu kuendesha serikali hata kwa bahati mbaya
2. Mkataba- hakuna tunachoweza kupata kwa mkataba, tutachanga 10 watachanga 0, tutagawana 5! hasara
3. Mahusiano, yawe katika FIFA, WBO, SADC, COMESA, CHANETA NA CHANEZA n.K

LET ZANZIBAR GO, LET THEM GO ASAP!
 
Mkuu Zinadine

Vuai amesema pia kwa upole hili ,amesema wana imani kuwa "Uamsho ni wing ya CUF. Si unajua sisi CCM tuna wing ya vijana? katika hiyo link uliyokopi kuhusu kuchukua CD.

Lakini pia kuna uchambuzi wa kina katika link hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...rini-kuvunjika-wakati-wowote.html#post4028168 huku pia hukuweza kuunganisha dots kuona kuwa Chai Chapati Maharage wanacheza "rafu" zao?

Wajanja wanaua ndege wawili kwa jiwe moja.

Umeniambia unazijua vyema siasa za TZ au uliniongopea?

Unachokiona wewe mimi sikioni mkuu. Natazama beyond rhetoric. Pia napitia matokea ya nyuma katika siasa za Tz na weledi wa CCM katika kushughulikia wadadisi.

Mwalimu alilia/ alitokwa na machozi alipopata habari za ajali na kifo cha Sokoine.
Mkapa alisema alikosa usingizi kwa matukio yaliyotokea Pemba.

Sefu Sharif na kundi lake walisekwa ndani na kupata mashtaka ya kupanga kuipindua serikali.

CHADEMA wanapingwa kesi kila leo za uchochezi wa fujo na uvunjifu wa amani.

Sifikiri kuwa nahitaji hata kutizama mkanda wa video kujua nani ana mkono katika uchomaji wa makanisa na kwa sababu gani anafanya hivyo.

Pitia michango yangu ya mwanzo, nimeweka wazi kile
ninachokiamini.

Kama unafikiri sikioni kile ambacho unakiona wewe katika hizo CD,ndugu Zinadine, tufike mahala tukubaliane kutokukubaliana.




A man is but a product of his thoughts, what he think/believe is what he become!

No, comment sir for your good post!
 
Mzee Mwinyi anataka mtoto wake awe rais ama wa Zanzibar au wa Tanzania. Ataachaje kupiga debe?
2001./QUOTE]

This is what we call hearsay, just you think, then simply, you legitimize or legalize! Things are not moving in this way sir, don't frame the picture before you know the size of the picture! You are highly elite person so don't bring here headline with referenced from daladala! Come on Nonda, how?
 
Nguruvi3,
Unajua mkuu wangu ktk swala hili la Utengano Wa -Zanzibar wajanja sana. wanajua sana kwamba Muungano Ukivunjika bado watapata hisani zote kutokana na kuwepo kwa EAC maana kila wanachokihitaji toka kwetu kitakuwa ktk EAC hivyo huwana sababu ya kuendelea kuwepo ktk muungano wakati Jumuiya ya EAC inawapa advantage zote wanazozihitaji toka bara. Hao Wazanzibar waliopo Bara watalindwa na ushirika huu lakini sidhani kama hii Jumuiya inaweza kulazimisha Zanzibar kupokea wageni wasiowataka...

Kinachonisikitisha zaidi leo hii ni kwamba sio tena swala la kero za muungano limeshika moto bali ati sisi bara ni bomba la mavi tunapeleka uchafu wetu Zanzibar kwa mtazamo wa Udini na ustaarabu wakati vitu hivi vipo Zanzibar kwa uwekezaji wa Wazanzibar na wageni (Wataliani) walowakaribisha wenyewe na kujisifia kwa Utalii. Muungano haukuanza jana mbona haya ya kuuza bwimbwi, kubuyaUnga, kamari na uchafu wote hayakuwepo miaka ya 60 na 70 hadi mwanzo wa 80. Iweje leo wawekeze wenyewe ktk kujenga guest house halafu walalamikie wageni wapangaji wanaokuja kulala?
 
.......
ahlan Nonda, sasa nikuulize je, Mwinyi na Sheni ni wasaliti au ni makafir maana wanatetea hoja za makafir Watanganyika kwa ubani wa wao!
Hebu tufafanulie maana wengine tumeshawaona makafir kwa tafsiri ya Wazanzibar
..............
LET ZANZIBAR GO, LET THEM GO ASAP!

Wasaalan Nguruvi3

Niseme hivi, kuwa katika Tanzania yetu huwezi kuwa rais kama sio mteule wa mungu, mcha mungu.

Kwa hiyo kwa ufahamu wangu, mteule wa mungu hawezi kuwa kafir.

Ni mimi na wewe tu ndio tunaweza kuwa makafir, au wewe Nguruvi3 ni mteule wa mungu?

Lakini kama utataka tafsiri itokayo kwa wazanzibar ni vyema uwasiliane na UAMSHO watakusaidia katika shida yako hii au huyo member Kamwemwe uliyemtaja kuwa ni mfuasi wa UAMSHO.
 
Mzee Mwinyi anataka mtoto wake awe rais ama wa Zanzibar au wa Tanzania. Ataachaje kupiga debe?
2001./QUOTE]

This is what we call hearsay, just you think, then simply, you legitimize or legalize! Things are not moving in this way sir, don't frame the picture before you know the size of the picture! You are highly elite person so don't bring here headline with referenced from daladala! Come on Nonda, how?

Zinedine

Mtoto wa Mwinyi alikuwa mbunge au mwakilishi kule Zanzibar?
Baadae mtoto huyu amekuwa mbunge Tanganyika? Anahamishwa wizara hadi wizara ili apate uzoefu kama Mkapa.

Mkuu uliniambia unazijua siasa za TZ, sasa mbona unaniangusha Zinedine? Come on!

Unahitaji darubini?
 
Nonda Pleeease, Huyo rais wenu mwenyewe Dr. Shein ana kadi ya bara, iwe kujiandikisha kupiga kura ama account zake sasa haya ya kujenga Uzanzibar kwa uzawa kusema kweli sidhani kama tunaijenga nchi hamjawa wayahudi. Hivi kweli unafikiria bara nao wakianza kuwatazama Wazanzibar kwa jicho hilo atapona mtu? Unajua fika marafiki zangu wengi ni Wazanzibara tunakuta mara kwa mara pale Chef na wote wale kina Salum wana asili ya Zenj leo kiwabaguliwa hawa mtaniacha wapi Mkandara. Tuzungumzie kero zetu iwe hata alivyoainisha Marehemu Prof. Haroub Othman na sii kusikiliza hizi siasa dhidi ya Nyerere wakati ukweli unaonekana jinsi mzee yule alivyoweza kuwapa hifadhi zote Wazanzibar huku bara iwe toka wakati wa Sultan au wa Karume.

Msiwe kama Wazimbabwe na Wasouth, leo hii hakuna washenzi kama wao baada ya kuwa huru tena wanatuchukia Watanzania na matusi kibao kwa Nyerere yule yule alowapigania. Tatizo lenu bado mnashindwa kuelewa kwamba Muungano wetu unahusu zaidi Jamii yaani WATU na ardhi inakuwa sehemu ya umbio letu, lakini sii Ardhi iloifanya Tanzania kuwa nchi na ndio maana Zanzibar hadi leo ipo wakati Tanganyika imekufa lakini Wazanzibar na wabara wote wapo kama Watanzania. Tukiacha kuchambuana kwa uzawa sijui nani ataathirika zaidi, hizi siasa ni chafu tuziache na haziwasaidii Wazanzibar
 
Back
Top Bottom