dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nikawa nimechezea cha mbavu kiivyo, ila nikafunzwa vyemaMwenyekiti uka potezwa😂😀.
Cc Analyse
Huyo hakula nauli yako Bali alichezeaNimeshatuma nauli mpka 100k haijawahi liwa madem wanaangalia wenge lako limekaaje haiwezekani mtu kakupa namba leo kesho unamuomba picha za uchi ni ushamba fulani. Na nilishachoma wese na pikipiki toka kigamboni hadi mbagala na kurudi alafu mtoto anafika geto anaanza kuleta mapozi hataki kutoa chupi nikajaribu kulazimisha akawa anapiga kelele dah alinikata stimu sana nikamtoa nikaenda kumuacha njiani na mvua akaliwe na wengine huko. Ila nilikereka kuchoma wese asee iende irudi njia nzima anajua tunaenda kulana anafika miyeyusho dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiii ndo nzuri bila hivyoo unaliwaa na hawa mafalaaMimi nilimtumia Demu nauli 50K Asubuhi inafika mchana analeta Visingizio Kibao mara nimepata msiba wa Ghafla afu ndio ilikuwa first day aje, Nikachungulia Muamala nkakuta bado hajatoa Nikaurudisha, Aiseee yule malaya alilaumu sana
,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malaya alikula 30K oyaaaa hapo ni kusuka na naulii shwaaa akapita hivii.. Single mazaa tapeli lileee hatariiii likaja kunitxt siku moja likajua nimesahau nikalivutaa likaniomba hela nikamwambia Njoo uifateee akapiga kimyaa.. siku kama mbili mbele akaomba hela ya kitimoto nikamwambia Hakuna mtu anaepotea njia wakati wa kurudiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] likapigaa kimyaaa...
Halafu Mbaya zaidi umemtumia pesa ya kunywa bia dume mwenzako kwa account fake Facebook aliyoweka profile na mapicha ya kike na makalio makubwa ukajaa kwenye 18 zake.
mimi alikula nauli afu akaniblock
inauma sana.
Ndo aka kufanya uwe mwenyekiti wa Wala nyeto fc😀🤒😂nikawa nimechezea cha mbavu kiivyo, ila nikafunzwa vyema
Mimi alikula nauli elfu 20 halafu akazima simu. Kaja kuwasha baada ya siku tatu.
Kumuuliza sababu eti anajibu alivyoenda kutoa ela kwa wakala ghafla simba wakaanza kucheza, hivyo akaona hata akija hakuna litakalofanyika.
Nikamuuliza kwanini alizima simu akajibu system chaji ilikufa na betri la kiswaswadu aliliweka vibaya panya wakalila. Hivyo amesharekebisha kwahyo nimtumie tena nauli aje! Alikula block nikaishia kumla besti ake ambae mpaka sasa hivi najipigia tu.
Sasa Kama Mpaka mkuu wa kituo alituma nauli na ikaliwa Wew Ni nani isiliwe?
nauli ya kutoka muchas pale mpaka iyunga nakosaje😂 sema nilituma liten siunajua ile uonekane kidumeWe nawe kaongo!! Pesa za kutuma hata unazo basi [emoji23][emoji23][emoji23]
hell yeahNdo aka kufanya uwe mwenyekiti wa Wala nyeto fc😀🤒😂
alinambia yupo Kigamboni nimtumie 5000 aje Kimara
simu ikazimwa chap baada ya kutuma
sikuwa mpiga nyeto miaka hiyo, nikatafuta lindo lingine
Hizi pesa huwa mnaokota?Nimeshatuma nauli mpka 100k haijawahi liwa madem wanaangalia wenge lako limekaaje haiwezekani mtu kakupa namba leo kesho unamuomba picha za uchi ni ushamba fulani. Na nilishachoma wese na pikipiki toka kigamboni hadi mbagala na kurudi alafu mtoto anafika geto anaanza kuleta mapozi hataki kutoa chupi nikajaribu kulazimisha akawa anapiga kelele dah alinikata stimu sana nikamtoa nikaenda kumuacha njiani na mvua akaliwe na wengine huko. Ila nilikereka kuchoma wese asee iende irudi njia nzima anajua tunaenda kulana anafika miyeyusho dah
Mimi nilimtumia Demu nauli 50K Asubuhi inafika mchana analeta Visingizio Kibao mara nimepata msiba wa Ghafla afu ndio ilikuwa first day aje, Nikachungulia Muamala nkakuta bado hajatoa Nikaurudisha, Aiseee yule malaya alilaumu sana
Na nimeshakula hela ya mama mmoja tulikubaliana nimfuate alipo kiuhalisia nilikua sina hela na yeye alikua anajua ndio najitafuta basi akatuma hela mm nikaamka asubuhi mapemaa nikaingia zangu sokoni kununua matunda na mazaga ya gengeni nikasingizia nimepata ajali nikatumiwa mpunga mwingine. Chanzo cha kula hela ni njaa zangu sikua na hela ya mzigo na pili nina kinyaa sana hilo limama linalazimisha ulipige denda dah hapo ndio mtihani unapoanzia maana ni mzee alafu mate yake nilikua naona kama yanavutika (udenda) Mungu tu anisamehe ila dunia hii kuna mengi