dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahaha nirudishie bana kwa 0712 163248[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni wewe? Ile siku Pantoni liliharibika nikashindwa kuvuka
niko vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nirudishie bana kwa 0712 163248[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni wewe? Ile siku Pantoni liliharibika nikashindwa kuvuka
nauli ya kutoka muchas pale mpaka iyunga nakosaje[emoji23] sema nilituma liten siunajua ile uonekane kidume
hahaha nirudishie bana kwa 0712 163248
niko vibaya
mtaje😅Ila wengine waongo humu hata hela ya kutuma hamna mnatupa story za uongo
Unataka uaibike mbele za watu 😆mtaje😅
Wanaume mnapitia mengi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila wengine waongo humu hata hela ya kutuma hamna mnatupa story za uongo
😅😅😅😅😅 mradi tu ajitutumueNawe umeona eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani km mshamba ndio muongo wa mwisho
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mradi tu ajitutumue
Watu wanatuma ticket ya flight na hawaleti uzi humuHapo wengine unakuta katuma pesa kubwa elfu 10 lkn kelele nyingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wenzao wanaotuma nauli ya flight tuwaweke wapi?
Dunia tu ila nshaachaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakuja kuzoa bibi zenu
Watu wanatuma ticket ya flight na hawaleti uzi humu
Sasa hawa wa bando la afutatu kelele nyingii
Dunia tu ila nshaachaga
Ndio naziokota.Hizi pesa huwa mnaokota?
Una bahati haujala hela ya mshana sahivi tungekuwa tunaongea mengineMe ticket nilikua sitaki nataka nikaweke booking mwenyewe ko itumwe pesa, yeye nitampa taarifa lini naenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakua imelala yoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hivi nimekua nimeacha
Inategemea na mfuko wakeWatu wanatuma ticket ya flight na hawaleti uzi humu
Sasa hawa wa bando la afutatu kelele nyingii
Bwana shemeji😳😳😳😳Nauli yangu hailiwi bure.. Lazima nikuroge! Nimewaroga sana halafu nimewarogea gundu la kimavi
Una bahati haujala hela ya mshana sahivi tungekuwa tunaongea mengine