Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Enzi hizo sijafocus kwenye puli kuna Ile Afu salasini na nane na miatano niliyoituma akaila na kuzima simu, inaniumaga mpaka leo. Lakini,Aisee lile Tako lilinichanganya akili 🤣🤣. Halafu nilivyokuwa jingajinga mwenye UPWIRU nikaja nikatuma afustini nyingine na yenyewe akaila 🤣🤣



Sasa hivi ni single mother, ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake. Halafu kanenepa kama simtank 🤣🤣. Akinionaga analia sana, mpaka anapiga magoti yaani ananitia aibu sana mbele za watu
 
Nilimtumia nauli kaja ghetto nikatoka kununua chips kuku na konyagi kubwa(baba lao) na bia nikarudi mageto. Tumekula huku tunaangalia movie.

Pombe zikamzidi ikabidi tukalale nikaona kumla mlevi alo poteza network noma acha nitamkula alfajiri. Naamka naona bed ipo wet kinyama kumbe madame kakojozi, mzuka ulikata asubuhi nikamwabia potea kojozi wewe😂😂
 
Watu wanatuma ticket ya flight na hawaleti uzi humu
Sasa hawa wa bando la afutatu kelele nyingii

Me ticket nilikua sitaki nataka nikaweke booking mwenyewe ko itumwe pesa, yeye nitampa taarifa lini naenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inakua imelala yoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hivi nimekua nimeacha
 
Back
Top Bottom