Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Mimi nilikua na muda mrefu sina mahusiano kwa sababu nilipenda uhuru issue za babe uko wapi
Babe i miss you niliona siziwezi

Nilikua napenda kucheza na kufatilia football
Napenda kwenda maeneo tofauti tofauti nisiyoyajua

Wakaja maninja wakanifundisha kusokomela wazee wa michoro mabegani😁😁😁
Ah kwanzia siku hiyo mpaka leo
Ni sina mahusiano wacha nitafute hela kwanza muda wa stable relationship sina kwa sasa
 
Nishakua sugu kuwa single, watu walinifanya niwe mgumu kuamini tena neno nakupenda.📌

Ukweli wanaume wenye nia ya dhati ya kuseto na wanawake wenye nia ya dhati ya kuseto wanaogopana sana. Sababu kuu ngumu kukutana na hata wakikutana wenyewe hawajuani nia dhao hivyo kila mmoja anakuwa hamuamini mwenzake.

Njia pekee inayowafanya wakutane na hata kufunga ndoa ni connection ya ndugu, jamaa na marafiki mutual friend. Maana rafiki anakuwa anawajua wote nia yao. Akiwachonganisha na wakapendana wanaoana.

Bila hivyo. Wanafika mpaka miaka 40 ama 50 wapo single
 
Back
Top Bottom