Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Ni maamuzi tu, mimi mwaka wa 3 huu, na ninafurahia maisha haswaa. Nadhani wengi hawapendi kuwa single kwa kuogopa loneliness, ama kwa kuogopa macho ya watu, lakini ukijaribu kwa hiari yako inakuwa very addictive.
Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini?
 
Kuna sàa unatamani umpende mtoto wa mtu Tena ila ukifikiria ya nyuma unasema moyo tulia wanaume punguzeni uongo na Dunia iwe sehemu salama basi
Tupendeni tu ivoivo, ndio tulivyo jokes tu🤣.

Usiidhurumu nafsi yako kwa kuogopa kupenda tena, Binadamu hatufanani, kuna wanaojifunza, kufundishika, waelewa na kurekebishika HATUJAKAMILIKA.
 
Back
Top Bottom