Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Nishakua sugu kuwa single, watu walinifanya niwe mgumu kuamini tena neno nakupenda.📌
Duh tu dokeze.Uchumi pia unachangia pakubwa.Kuna tukio lilinilazimu niwe single kwa muda mrefu zaidi ya mwaka na nusu, hali ya maisha pia.
Aiseee mm kupigwa tukio ndo kulinitoa mchezoni jumla mpaka kesho nlikaaa single Toka January 2019 hadi February 2021... Focus ikawa kumaliza hamu tu kipindi chote hichoKuna tukio lilinilazimu niwe single kwa muda mrefu zaidi ya mwaka na nusu, hali ya maisha pia.
Pole sana mkuu matukio yanayumbisha sana, kwa sasa navuta pumzi nioe kabisa.Aiseee mm kupigwa tukio ndo kulinitoa mchezoni jumla mpaka kesho nlikaaa single Toka January 2019 hadi February 2021... Focus ikawa kumaliza hamu tu kipindi chote hicho
Bora ww una moyo huo mm kwa sasa na vitu nimejaribu kufocus navyo tu mambo ya kuoa labda 2030+Pole sana mkuu matukio yanayumbisha sana, kwa sasa navuta pumzi nioe kabisa.
Niliwahi eleza humu kwenye comment kwa kifupi. Mwanamke alishirikiana na mama yake kutoa kiumbe changu akanidanganya kalazwa baada ya kupata ajali. Baada ya hapo nilitulia tuli na maumivu yangu.Duh tu dokeze.Uchumi pia unachangia pakubwa.
Inawezekana ukanitangulia maana nimesema navuta pumzi sijui ntavuta adi lini.Bora ww una moyo huo mm kwa sasa na vitu nimejaribu kufocus navyo tu mambo ya kuoa labda 2030+
Tusubirie tuoneInawezekana ukanitangulia maana nimesema navuta pumzi sijui ntavuta adi lini.
Kaka naamini tutaanza kula vitafunwa kwenye ndoa yako kabla ya yangu.Tusubirie tuone
Mm naamini pilau litalika kwako ndo nifuate mimiKaka naamini tutaanza kula vitafunwa kwenye ndoa yako kabla ya yangu.
Kwanza siku hiyo halitopikwa pilau ni wali ndondo.Mm naamini pilau litalika kwako ndo nifuate mimi
Cotton and more /pambana zaidi😀😀😀Sababu ni moja tu, Sina Helaa!
Vipi unaweza kunisaidia Buku hapo?
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Misos sio shida! Mziki unaanza kwenye kutambulisha huyu ndo mchumba wangu....Kuna namna Nawaza baba kakaa pale mama kakaa hapo 🤔wote wanajua kijana sasa ntakua namla huyu bintiKwanza siku hiyo halitopikwa pilau ni wali ndondo.
Hilo haliwashtushi hata kidogo 😂Misos sio shida! Mziki unaanza kwenye kutambulisha huyu ndo mchumba wangu....Kuna namna Nawaza baba kakaa pale mama kakaa hapo 🤔wote wanajua kijana sasa ntakua namla huyu binti
Kuna ile attention wazazi wanakupa 😄dadeqHilo haliwashtushi hata kidogo 😂