Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Mnaosema mlikuwa single au mpo single mnamaanisha mlikuwa hamzagamuani au single huku mnapiga hit and run?
 
Kwa sababu moyo wangu haukuwa tayari kumpenda mtu.ingawa bado niko singo💃💃💃
 
Hii inawahusu wanachuo tu ?
 
Kupigwa excile kulikuwa kunanipa hasira sana, nikaona hapa nisiwe mnyonge.

Chuo ukimaliza hujaruka hata na first year wa cheti / certificate ni kama mkosi
Ndo mawazo ya mwanachuo wa Bongo, badala ya kusoma wanawaza ujinga. Lol
 
Point ni zilezile lack of capital to start a relationship, competition from other rich people, poor geographical location [emoji16]
Nimecheka had watu wananishangaa hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point ni zilezile lack of capital to start a relationship, competition from other rich people, poor geographical location [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] mjadala uishie hapa.
 
Niliacha kuhangaika na mahusiano pale nilipotolewa nje na first year just imagine. 3 years single singular singwengwe singwengu
 
Niliacha kuhangaika na mahusiano pale nilipotolewa nje na first year just imagine. 3 years single singular singwengwe singwengu
Anza tuition mkuu ya mapenzi, anza na mabeki tatu unakua una upgrade taratibu kwenda kwa single mothers, mpaka unaanza kula pisi kali za 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…