Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Mar 24, 2024 #61 Uwe single kwani we nyoka?
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Mar 24, 2024 #62 Contraband said: Ni maamuzi tu, mimi mwaka wa 3 huu, na ninafurahia maisha haswaa. Nadhani wengi hawapendi kuwa single kwa kuogopa loneliness, ama kwa kuogopa macho ya watu, lakini ukijaribu kwa hiari yako inakuwa very addictive. Click to expand... Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini?
Contraband said: Ni maamuzi tu, mimi mwaka wa 3 huu, na ninafurahia maisha haswaa. Nadhani wengi hawapendi kuwa single kwa kuogopa loneliness, ama kwa kuogopa macho ya watu, lakini ukijaribu kwa hiari yako inakuwa very addictive. Click to expand... Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini?
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Mar 24, 2024 #63 Akili ya kubeti said: Niliacha kuhangaika na mahusiano pale nilipotolewa nje na first year just imagine. 3 years single singular singwengwe singwengu Click to expand... Mkosi ulioje?1st year anakupa chaga?
Akili ya kubeti said: Niliacha kuhangaika na mahusiano pale nilipotolewa nje na first year just imagine. 3 years single singular singwengwe singwengu Click to expand... Mkosi ulioje?1st year anakupa chaga?
Contraband JF-Expert Member Joined Nov 14, 2021 Posts 1,036 Reaction score 2,807 Mar 25, 2024 #64 Smart AJ said: Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini? Click to expand... Hahaha... Kuna mwanamama mmoja ameanza kuteka moyo ngoja nione tunalekea wapi.
Smart AJ said: Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini? Click to expand... Hahaha... Kuna mwanamama mmoja ameanza kuteka moyo ngoja nione tunalekea wapi.
Q qurious Senior Member Joined Jan 13, 2012 Posts 117 Reaction score 77 Mar 25, 2024 #65 Smart AJ said: Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini? Click to expand... Kuna sàa unatamani umpende mtoto wa mtu Tena ila ukifikiria ya nyuma unasema moyo tulia wanaume punguzeni uongo na Dunia iwe sehemu salama basi
Smart AJ said: Everbody need somebody,ukaa peke ako kama panga kwanini? Click to expand... Kuna sàa unatamani umpende mtoto wa mtu Tena ila ukifikiria ya nyuma unasema moyo tulia wanaume punguzeni uongo na Dunia iwe sehemu salama basi
E EP MEDICS COSMETICS STORE JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 2,826 Reaction score 4,593 Mar 25, 2024 #66 qurious said: Kuna sàa unatamani umpende mtoto wa mtu Tena ila ukifikiria ya nyuma unasema moyo tulia wanaume punguzeni uongo na Dunia iwe sehemu salama basi Click to expand... Tupendeni tu ivoivo, ndio tulivyo jokes tu🤣. Usiidhurumu nafsi yako kwa kuogopa kupenda tena, Binadamu hatufanani, kuna wanaojifunza, kufundishika, waelewa na kurekebishika HATUJAKAMILIKA.
qurious said: Kuna sàa unatamani umpende mtoto wa mtu Tena ila ukifikiria ya nyuma unasema moyo tulia wanaume punguzeni uongo na Dunia iwe sehemu salama basi Click to expand... Tupendeni tu ivoivo, ndio tulivyo jokes tu🤣. Usiidhurumu nafsi yako kwa kuogopa kupenda tena, Binadamu hatufanani, kuna wanaojifunza, kufundishika, waelewa na kurekebishika HATUJAKAMILIKA.