Mbona umesha supp muda tuuMuda muafaka wa kunipa lile somo tichaπ
Upendo wa kwanza nlisota yule binti fala kbs nusu aniue! Nlikuwa silali, tukitoka shule nakimbia hadi geto naweka madaftar nachukua Toyo ya bro nampelekea kwao! Nlifanya mengi sana π€£π€£π€£π€£baada ya kuona najitesa nkajikataaa....mwaka wa 7 huu tumebaki kuwa marafiki tuBado hujakutana na unaempenda mkuu
Ahaaaa kweli?π₯ΊMbona umesha supp muda tuu
Ulipo nipo.Ushatimba tayariππ
Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kikeMbona kujichanganya π€£π€£
KhaaaaπAhaaaa kweli?π₯Ί
Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kike
Ndo uhalisia dadanguUko na life nzuri sana kama kweli uko hivi
Basi naachaπKhaaaaπ
Naona kabisa dalili ya wew ku carry
Endelea
Delete kila kinachomuhusu ππKwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?
ππππUlipo nipo.
I missed ur call, nipigie tena π€£π€£
Jiandae kwa supp sasaπBasi naachaπ
Kuna mda urafiki upo sana!!!Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.
Sawa tichaπJiandae kwa supp sasaπ
Delete kila kinachomuhusu ππ
Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela πππ
ππ sounds matured.Kuna mda urafiki upo sana!!!
Mi kuna marafiki siwezi waambia hayo mambo na hata siwawazii hvo hasa wale ambao tunashare mambo ya msingi yenye pesaaa, Kuna mda tuuruhusu urafiki uchukue nafasi yake maisha ni zaidi ya kupiga miti