Let's chat

Hahahahahaha, mie huwa najaribu kupenda lkn mwisho wa siku naishia njiani.
 

An easy life πŸ‘

Shida sio wote wanaweza kubaki single
 
Mie cha kufuta huwa ni namba tu
Sina kawaida ya kuwa na video ama picha ya nnaedate nae

Kwa hiyo ulimtafuta mkaendelea mlipoishia πŸ˜…
Hunaje?? Hata kama hakuwaga na ustaarabu wa kupiga picha, hapa atapiga! Na atanitumia, nitaziacha hapo kwa chatting. Nikimmiss namzoom. Tukigombana nafuta chats na mapicha yake yanapotea πŸ˜‚πŸ˜‚


Eeh mwenzangu. Nikamtafuta tukapiga kitu cha rewind 🀣🀣
 
Mambo my
 

Labda kwasababu na mie sio mdau wa mapicha,manake nikitumiwa picha na mie si nitatakiwa nitume πŸ˜…

Sasa mie nashangaa mtu anayeweza kuachana na mtu halafu akamrudia
 
Sasa mie nashangaa mtu anayeweza kuachana na mtu halafu akamrudia
Kwani nikuachana? Achana na hao wanaoachana kisha wanatamkiana let us break up.

Kuna sie tunaonyamaziana 🀣
Unapunguza mawasiliano siku 3. Mtu anajiongeza na yeye anakuachia space.
Ukikumbuka uwepo unaanza kumsaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Delete kila kinachomuhusu πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
sasa si ungedelete na sms za miamala?

Joanah jitahidi unywe maji mengi na ule vizuri inasaidia sana mda mwingine huwa ni njaa tu. Ila kupenda usipopendwa/jaliwa ni mbaya sana isikie tu kwa jirani.
 
Kuachana kwa namna hiyo ndio siwezi
Heri tukubaliane tumeachana kila mtu akafanye anachofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…